Tengeneza pesa kwa kurekodi video

Sasa simu yako itakuingizia pesa nzuri kufuatilia Milionea Tv youtube channel

Tengeneza pesa kwa kurekodi video fupi ya kitu chochote kile kwa kutumia simu yako ya mkononi smartphone. Unaweza kurekodi ukiwa unaimba, ukiwa unacheza, ukiwa unapika, ukiwa unafanya kitu chochote kile.

Pia unaweza rekodi tukio lolote lile au chochote unachozani watu wakitazama watajifunza au wataburudiaka au watapata habari.

 

Unalipwa kwa idadi ya views kwa kila video unayoituma Milionea Tv.

 

Masharti ya kazi hii

  1. Unatakiwa kutuma video original yakwako ambayo haijawekwa kwenye mtandao wowote duniani
  2.  Kama ni ya mtoto hakikisha mtoto huyo unaishi naye kwakua siku yoyote anaweza hitajika kufanya interview na milionea Tv 
  3. Unakubali kulipwa sh elfu kumi kwa views efu 10 kwa kila video 
  4. Kiwango cha chini kutumiwa pesa kwa simu ni ufikishapo views elfu 10
  5. Video yako iwe inaelimisha au inaburudisha au inaihabarisha jamii si video zisizo na maana yoyote kwa jamii

Anza sasa kutengeneza pesa tuma video yako whatsapp 0652428852. Jitangaze kipaji chako sasa huku ukitengeneza pesa nzuri ndani ya MilioneaTv

53 Views