Blog Ajira Cover Image
Blog Ajira Profile Picture
89 Members
8 months ago - Translate

Habari njema sasa blog au website zinalipa mara mbili. Ukitinegenezewa blog au website ambayo utakuwa unaandika habari au makala za kungereza tu ambazo ni original unalipwa kwa idadi ya wanaosoma blog yako mfano blog ikisomwa mara elfu 5 kwa siku utalipwa elfu kumi kwa mwezi utakuwa na laki tatu.

Pia siku ukiamua kuachana na kazi ya kumiliki blog utatoa taarifa na tutainunua blog yako kama ina makala za kingereza ambazo hazipo kwenye blog nyingine tofauti ya yako. Jiunge na biashara hii nzuri sasa Tuma sms au whatsapp 0652428852 au comment hapa utapata blog leoleo kwa sh elfu 19 tu na kuanza kutengeneza pesa mitandaoni

image
12 months ago - Translate

Habari wana blogger leo nimefundisha jinsi ya kuiilinza akaunti ya adsense ili isifungiwe na google kwa kukiuka masharti. Soma zaidi wenye link hii http://www.jamiihuru.com/read-blog/33

Jifunze jinsi ya kuilinda adsense akaunti yako usifungiwe na Google
www.jamaaonline.com

Jifunze jinsi ya kuilinda adsense akaunti yako usifungiwe na Google

Jinsi ya kulinda account ya adsense usiwe banned
1 year ago - Translate

SASA MWENDO WA BLOG ZISIZOTOA HABARI "Current Affairs and News"

Tukutengenezee blog inayounganishwa na matangazo ya kukulipa maishani mfano blog ya burudani kama vichekesho,hadithi, elimu ya maisha,ushauri wa mahusiano n.k Tukutengenezee blog kama hizo Hazihitaji usajiri serikalini kulingana na TCRA Utasoma zaidi kwenye link hii www.tcra.go.tz/images/headline....s/FAQ-_Online_Regist
Kama blog au website yako haitaandika "Current Affairs and News" Huhitaji kuisajiri TCRA

Ulikuwa unaogopa utapataje pesa za kusajiria blog yako ambayo kwanza umejiajiri mwenyewe kutoa elimu ya ufugaji na kilimo mtandaoni baada tu ya kuhitimu chuo kikuu cha SUA na kukosa ajira. Sasa usiwaze tena Tukutengenezee blog ya kufundisha jamii kitu chochote ulichokisomea au ulicho na ujuzi nacho utatengeneza pesa kuliko kuingia kwenye mtego wa serikali kuripoti habari za akina "mage kibambi" na issue za maandamano achana nazo. kwanza habari hizo haziishi muda mrefu. Ukiandika habari ya Rais amtumbua waziri baada ya siku tatu post yako haina kazi tena lakini ukiandika makala jinsi ya kufuga kuku wa kienyeji itadumu vizazi na vizazi kwani wote watahitaji kujifunza ufugaji hata wewe ukiwa umetoka duniani. Blog za namna hii nazifananisha na Kitabu.

Usiogope tena Blog ni ajira tosha

Jamaa Online
www.jamaaonline.com

Jamaa Online

Join jamaa online make money online while you enjoy connecting with new friends that matters to your life.
1 year ago - Translate

Tazama blog yako kama ipo kwenye list ya blog zifuatazo kama haipo na ulitengenezewa toa taarifa comment jina la blog yako hapo chini
https://www.jamiihuru.com/read....-blog/19_tangaza-bia

1 year ago - Translate

Jambo la muhimu kufanya ili app yako ipendwe na watu wengi na uingize pesa nyingi kwa mwezi.

Tunatambua ukitengenezewa app na kuwekewa matangazo ya Millionaire ads unalipwa kwa idadi ya wanaosoma app yako. Mfano app ikisomwa na users laki tano unalipwa milioni moja. yaani idadi ya users X 2 = na mshahara wako.

Kama umeshapata app sasa kuna jambo la msingi la kufanya ili app yako ipendwe na watu wengi na ulipwe pesa nyingi. Jambo hilo ni kipromote app yako kwenye mitandao yote uliyojiunga. Tumia ile link uliyotumiwa ya kudownload app yako kisha share whatsapp mara nyingi kwenye magroup mengi uwezavyo,Fanya hivyo kwenye facebook, instagram, twitter pia kila ukiandika habari kwenye blog mwisho wa habari weka link ya app yako na uwaombe watu kuidownload. Kwa kufanya hivyo utapata users wengi kwa muda mfupi.
Usisahau kuandika habari au makala nzuri kila siku ili watu wasitoe app yako kwenye simu zao. Kufikisha users kuanzia 5000 omba kulipwa pesa zako kwa aliyekutengenezea app hiyo mfuate whatsapp atakutumia pesa zako.
Piga kazi app inalipa kuliko hata blog

image
  • About
  • Jifunze na jadili kuhusu kutengeneza pesa kwa kumiliki na kuandika blog