3 months ago - Translate

Karibuni vijana mjifunze kujiajiri kwa kumiliki blog, Wengi mna simu za smartphone wenzine ni wanachuo mpo chuoni au mmemaliza chuo hamjajua mfanye nini cha kuwawezesha kuingiza pesa.

Kama wewe ni mwanachuo na una kompyuta au una uwezo wa kuipata kompyuta angalau saa moja kwa siku hakika kama unalalamika kuwa maisha ni magumu wewe unajitakia.

Ukimiliki blog na app una uwezo wa kuingiza laki tatu kwa mwezi ukiwa umekaa nyumbani kwako na kompyuta yako au simu tu. Endelea kufuatilia mada zetu kupitia group la blog ni ajira na page ya mafunzo ya blog

image
  • About
  • Jiunge kwenye group hili ujifunze kutengeneza pesa kwa kumiliki blog na app