Forum

Je kula sukari nyingi kwenye chai kuna sababisha kisukari?

Started by Lidia · 2 Replies
Avatar

Lidia


49 w

Posted: 8 w
Madaktari humu naomba kujua eti kula sukari nyingi kwenye chai kuna sababisha ugonjwa wa kisukari? Maana naskia watu wanasema usipende chai yenye sukari nyingi utapata ugonjwa wa kisukari
Share on my timeline

Content Master Joined: 27 w

Posted: 8 w
Kwamba sukari inasababisha kisukari? sizani

neema Joined: 19 w

Posted: 8 w
Wanasema tutumie asali kwenye chai hatutaugua kisukari
Asante kwa kutembelea mtandao huu

Wajulishe marafiki kuhusu mtandao huu unaolipa, bonyeza hapa chini kutuma WhatsApp