Je, bawasiri yako ni yenye kujirejea rejea? Je, unakosa amani sababu ya bawasiri yako? Je, unashindwa kukaa na kufanya shughuli zako nyingine kwasababu ya bawasiri yako? Na je umetumia madawa mengi na tofauti tofauti katika kutibu bawasiri yako bila mafanikio yeyote?
Kama wewe ni mmoja kati ya wale wenye kujiuliza maswali hayo basi hii ni kwaajili yako..!!
Watu wengi tumekuwa ni wenye kusumbuliwa na ugonjwa huu kwa muda mrefu na pia kujiuliza ipi tiba yake.
Katika hili yakasemwa mengi ikiwemo ya kuwa tiba ya bawasiri ni fibers au tiba ya bawasiri ni kufanya mwili uwe hydrated muda wote ili kuzuia constipation.
Ni kweli utumiaji wa fibers na maji mengi ni njia ya kuondoa na kuzuia constipation lakini swali muhimu lakujiuliza Je, hizi fibers na kunywa maji mengi ni tiba sahihi katika kutibu bawasiri yangu?
Kila mmoja wetu anasababu tofauti iliyo mfanya yeye kuapata bawasiri yake.!
Hivo kitu cha kwanza kabisa anachotakiwa kufahamu au kujiuliza mtu Je, ni ipi/lipi sababisho la bawasiri yake!??
(Sisi tutakusaidia kuijua link kwenye Bio)
Of course kuna sababu nyingi (zaidi ya 15) za mtu kupata bawasiri na nyingi huwa zinategemeana, miongoni mwa hizo sababu ni hizi...
1. Kukaa sana chini kwa muda mrefu (prolonged sitting) 2. Ujauzito kwa wanawake (pregenacy) 3. Uwepo wa kiwango kidogo au kikubwa cha thyroid hormone mwilini 4. Constipation. Etc....!!