Pesa Mtandaoni Cover Image
Pesa Mtandaoni Profile Picture
Pesa Mtandaoni
@pesamtandaoni
36 people like this

SASA NI ZAMU YAKO. Jifunze mbinu zote za kuingiza pesa kwa kuanza huduma ya kuwatengenezea watu blog au app.

Vijana badala ya kupoteza muda Facebook tunaweza kuingiza kipato kizuri tu mitandaoni. Umekuwa ukifuatilia page ya pesa mtandaoni Mara kwa Mara Leo ni zamu yako kuanza kuwatengenezea blog watu wengine au kuwatengenezea app watu wengine ili utengeneze pesa ukiwa umekaa nyumbani kwako au ukiwa ofisini na kompyuta ya ofisi au ukiwa shule au chuo ukitumia kompyuta lab ya shule au chuo unachosoma.

Hauhitaji kuwa umesomea IT kufanya kazi hii unashauriwa angalau uwe umefika form four na lazima uweze kutumia kompyuta yenye internet na pia uwe na Simu ya smartphone.

Hauhitaji kuwa na mtaji wa pesa kuanzisha biashara hii unachotakiwa ni kulipia sh elfu 20 ya huduma ya mfumo wa matsngazo utakaokuwa unautumia kuuzia matangazo kwenye blog zote unazowatengenezea wateja hutalipia tena maishani mwako na utaunganishwa na group la mafunzo bure whatsapp kupata msaada na ujuzi zaidi bure maishani mwako.

Kama una kompyuta na Simu na upo tayari kuanza biashara hii Tuma SMS whatsapp au telegram 0652428852
Utapata huduma Leo Leo na kuanza kuwatengenezea blog wateja na wakulipe. Karibu.

image
  • About
  • Jifunze jinsi ya kutengeneza pesa kwa kuanzisha biashara mbalimbali online