https://chat.whatsapp.com/BqpYo1213b6B5zgfiCVxo6

Please Follow this Link" /> https://chat.whatsapp.com/BqpYo1213b6B5zgfiCVxo6

Please Follow this Link" />
Moses Lemweta added new product for sell.
4 months ago
image

Food Supplements

Dar Kinondoni Morocco

[12/12, 08:59] Moses .L. Tz.: JE, NINI HUSABABISHA VIPINDI VYA HEDHI KUBADILIKA?

Ieleweke hivi, ingawa mzunguko wa hedhi wa wastani huwa siku 28, lakini unaweza kuonekana pia siku 24 au kila baada ya siku 34. Baada ya kubalehe, wanawake wengi huwa na mzunguko wa hedhi usiobadirika hata kidogo; lakini baadhi yao hubaki katika mzunguko wenye tabia ya kubadirika badirika.

NUKUU: Kutokwa damu ya hedhi kwa kawaida huwa ni siku 3-4, na wastani wa siku 5 ambao kitaalam ndio huonekana kuwa mwanamke anachukuwa muda mrefu akitokwa damu ya hedhi.

Je, Nini Visababishi Vyake?

Mzunguko wa hedhi kubadirika badirika mara nyingi husababishwa na mambo yafuatayo:
Vichocheo kutokuwa na uwiano sawa (hormone imbalance)
Msongo wa mawazo
Wasiwasi
Mazoezi mazito
Kuporomoka kwa mimba.
Matumizi ya madawa hasa madawa ya uzazi wa mpango, nk.
Magonjwa sugu kama vile ya zinaa, kisukari au magonjwa ya moyo, nk
Magonjwa katika mfumo wa uzazi hasa vivimbe kwenye vifuko vya mayai, mji wa mimba(Uterus), mirija ya mayai, kuharibika kwa ukuta wa kifuko cha uzazi, nk

Je, Dalili Zake Zinakuwaje?

Dalili za tatizo hili mara nyingi huwa kama ifuatavyo:
Kukosa hedhi mwezi 1, 2, au 3 nk
Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
Maumivu makali wakati wa hedhi
Kutokwa na damu muda mrefu
Kukosa hamu ya tendo la ndoa
Sehemu ya uke kukauka ama kukosa ute
Kutokwa na uchafu ukeni

NUKUU: Hali ya kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huambatana na uwepo wa matatizo mengine ya uzazi, kwani damu inaweza kutoka nyingi au kidogo kidogo kwa muda mfupi au mrefu.

Je, Madhara Yake Yanakuwaje?

NUKUU: Madhara ya tatizo la hedhi kubadirikabadirika ni kupoteza uwezo wa mwanamke kupata ujauzito au kuwa mgumba.

TIBA ZAKE

Eternal International Clinic tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo haya ya kubadilikabadilika kwa hedhi kwa mwanamke, nazo ni Soy Isoflavones shilingi 59,000/=, Pamoja Na Natural vitamin E shilingi 59,000/=

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi:

0788250300
0744333844

KARIBUNI SANA.
[12/12, 09:00] Moses .L. Tz.: https://chat.whatsapp.com/BqpYo1213b6B5zgfiCVxo6

Please Follow this Link


Type New
Price Tsh59000 (TZS)
Status In stock