Habari njema unaweza nunua bitcoin kwa kutumia pesa ulizonazo kwenye wallet ya jamiihuru.com Tazama link hii
https://www.jamiihuru.com/wallet/
Unachofanya unamtumia mtu anayeuza bitcoin kiasi cha dola zilizopo kwenye account yako ya jamiihuru.com yeye anakutumia bitcoin kwa wallet address au kwenye exchange yoyote duniani
Wakala wawili @Hudumapoa na @anithacoin wameanza kupokea pesa zilizopo jamiihuru.com na kutuma bitcoin kwa muhusika.
Wafanyabiashara wengine wa bitcoin mnashawishiwa kuanza kupokea pesa toka jamiihuru.com ni walet ya uhakika ambayo unaweza kuweka pesa na kuzitumia muda wowote popote pale
ZAKAYO KEMBOI
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?
Hinja Hassan
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?