image
image

Cover za kufunikia magari

Tsh170.000.00 (TZS)
0 Reviews
Mrtrader profile picture   
Published By Mrtrader
  •  LocationDar es salaam
  •  StatusIn stock
  •  TypeNew

Details

Hizi ni cover za magari ambazo zimetengenezwa kwa material mazuri ili utakapo funika gari yako basi isiathiriwe na mikwaruzo , Vumbi, Mionzi ya jua , Mvua , uchafu kutoka kwa ndege wa angani .
#FAIDA ZAKE _ . Zina uwezo wa kuzuia mioz Mikali ya jua ili isipaushe rangi ya gari yako .
.Huzuia vumbi lisiingie kwenye pembezoni za kioo cha gari yako . Huweza kulinda gari dhidi ya kunyeshewa na mvua .

#UWEZO WAKE _ Cover hizi ni Univasal kwa maana kwamba zinaingiliana kwa gari zote za miundo midogo ukiacha bus / coaster.

Related Products