image
image

Spinning Bike zinauzwa

Tsh850.000.00 (TZS)
0 Reviews
Mrtrader profile picture   
Published By Mrtrader
  •  LocationDar es Salaam
  •  StatusIn stock
  •  TypeNew

Details

Spinning Bike
Ni mwanzo mzuri ikiwa utahamishia Gym yako nyumbani kwani itahamasisha hata familia iliyo nyumbani kuanza kufanya mazoezi ..
Spinning Bike ni chaguo bora katika machaguo muhimu katika kukamilisha daily routine ya mazoezi ukiwa nyumbani
✅Capacity yake ni 150kg max user weight
✅Inasoma speed, Distance na Time
✅Ina chupa ya kuhifadhi maji

Bei ni 850,000 tu

✅Tunahakikisha mashine inafika mpaka nyumbani ndio unalipia
✅Derivery ni free kwa dar
Call, Text, Whatsap
0747667312

Related Products