Jinsi ya kujisajiri jamiihuru.com

Post hii inakufundisha jinsi ya kujisajiri kwenye Mtandao huu wa Jamii Huru

Kwanza kabisa elewa kuwa mtandao huu utakulipa kwa kupost chochote kama picha video au kuanzisha mada za kujadili mambo mbali mbali yenye maana

Mtandao huu pia utakupa shilingi elfu mbili kwa kila mtu utaemwambia ajisajiri hapa Jamiihuru.com

Sasa unatakiwa ujisajiri kwanza bure na ni dakika tatu tu ili uweze kufanya kazi hizo za mtandaoni na ulipwe.

Jinsi ya kujisajiri ni rahisi sana

1, Bonyeza link hii http://www.jamiihuru.com/register
2. Jaza sehemu wazi zote ukianza na username ambayo unatakiwa kuweka neno moja tu na liwe na herufi angalau 6 mfano mkaliwao unganisha maneno liwe neno moja tu usitenganishe maneno mfano mkali wao itakugomea

Weka email yako sahihi ambayo unaitumia mara kwa mara ili upate ujumbe wa malipo ukishafikisha angalau sh elfu 10 za kulipwa ili uzivute kwa Mpesa au tigo pesa au halopesa au airtel money

Weka password angalau herufi sita mfano jina la mtoto wako au jina la mjomba wako au neno lolote ambalo huwezi kusahau kirahisi.

Rudia tena kuweka password hiyo hiyo

Chagua gender au jinsia kama wewe ni mwanamke weka female kama ni mwanaume weka male

Tiki au weka alama ya vema kwenye kibox unachokiona hapo chini kisha bonyeza neno Lets Go
Endelea na hatua inayofuata
Unaweza download App ya Jamii Huru ipo Play store bonyeza link hii http://bit.do/JAMIIHURUAPP

Kama utaendelea kupata shida namna ya kujisajiri Jamii Huru basi wasiliana whatsapp bonyeza link hii http://bit.do/bonyezahapa au whatsapp namba 0652428852 utaelekezwa kwa vizuri

Karibu Jamii Huru ujiajiri mtandaoni.

Like
ADVERTISEMENT
------------------------- Asante kwa kutembelea mtandao huu

Tunaomba msada wako kushare mtandao huu