Idd Mussa added new product for sell.
4 months ago
image

Miwani kuendesha gari usiku/mchana

Dar es salaam

Hi ni miwani maalumu kwaajili ya kuendesha vyombo vya Moto (gari,pikipiki,bajaji n.k) nyakati za usiku au jua kali

Miwani hii husaidia kupunguza mwanga na kukusaidia kuona vyema

Mara kadhaa nadereva wengi hupata tabu kuendesha vyombo vyao hasa wakati wa Usiku kutokana na mwanga kinzani kutoka kwa gari,piki,bajaji inayokuja mbele yako

HD Night Vision Glass itakukinga dhidi ya uoni hafifu hutokanao na mwanga kinzani
Mobile no call or Whatsapp
0653799918


Type New
Price Tsh25000 (TZS)
Status In stock