Matokeo ya kidato cha nne 2019/2020 fuatilia hapa


Karibu ufuatilie matokeo ya kidato cha nne 2019/20 hapa

Matokeo ya kidato cha nne 2019/2020

Habari ndugu mwanafunzi ambaye umekuwa ukijiandaa matokeo ya kidato cha nne 2019/2020 Kwanza Tunatakiwa kumshukuru Mungu kwa uhai anaotupa mpaka siku ya leo hii. Mtangulize Mungu kwa kila jambo Ili uweze kufanikiwa katika masomo na maisha yako. 

Hongera sana kwa kufikia hatua hiyo ya kuwa kidato cha nne, Pia hongera pia kwa wanafunzi wote Tanzania ambao wameweka jitihada zao katika elimu, Hakika bila elimu siku hizi utasota sana kimaaisha bila mafanikio. Unatakiwa kusoma kwa kujituma na sio kupoteza muda shuleni.

Una bahati kuja kusoma hapa mtandaoni kwakua leo hii utaweza pia kujua namna unavyoweza kuanza kulipwa kwenye mtandao wa jamiihuru huu unaosoma hapa. Ni kiwa kama mdau wa jamiihuru na wakala niliyethibitishwa na mtandao wa jamiihuru nakushauri na wewe ujiunge kwenye mtandao huu wa www.jamiihuru.com ili uweze kuanza kulipwa ukiwa bado shuleni unasoma. Kama wewe ni mwanachuo hakika utamaliza chuo ukiwa na chanzo chako cha pesa hapa jamiihuru.com.

Kuiunga na mtandao huu ili uanze kulipwa kwa kuelimisha jamii unabonyeza link hii hii www.jamiihuru.com kisha angalia maandishi mekundu bonyeza hapo utapelekwa kwenye group la whatsapp au telegram huko utampata mtaalamu wa kukusajiri nadhani utalipia sh elfu 1 kama mimi nilivyolipia kujiunga hapa ili niweze pia kulipwa kwa kuelimisha jamii ya Tanzania.

Unaendelea kuiandaa kwa matokeo ya kidato cha nne 2019/2020 Jiandae vizuri kuanzia sasa ili matokeo haya yakitoka uweze kufanikiwa kufaulu na kuendelea na kidato cha tano. Kila siku kwako iwe ni siku ya kujifunza swali fulani ya necta form four kwenye past papers zilizopita hakika ukisorve pastpaper za miaka 5 iliyopita naaamini utakuja kukutana na maswali ya mtihani wa kidato cha nne 2019. 

Msikilize mwalimu kwa kila anachokushauri ukiwa shuleni, kuwa na tabia njema au nidhamu bora kwa walimu walezi na hata wanafunzi wenzio na watu wote  wanaokuzunguka hapo shuleni. Acha mapenzi shuleni, Dada usijiingize kwenye masuala ya kufanya mapenzi ukiwa bado mwanafunzi utafeli na ndo maisha yako yatakuwa ya kumtegemea mwanaume na pengine usifanikiwe hata kuolewa. Acha ngono ukiwa mwanafunzi. Bangi wanafunzi wa kiume hazitawafikisha popote sana sana mtaharibikiwa maisha. 

Basi nadhani ujumbe umeupata mwanafunzi. Sasa uumbe huu najua umeupenda na uwatumie marafiki wanafunzi kwenye magroup whatsapp, facebook telegram ili nao waje kusoma hapa wapate ujumbe huu mzuri na wafaulu mtihani wa kidato cha nne 2019 na wafurahie matokeo ya kidato cha nne 2019/2020

Searching for 

matokeo ya kidato cha nne 2019 yametoka

matokeo kidato cha nne 2019/2020

matokeo ya kidato cha nne 2019/2020

matokeo kidato cha nne 2019

matokeo ya kidato cha nne 2019 necta

matokeo ya kidato cha nne 2019/20

matokeo kidato cha nne 2019/20

matokeo ya kidato cha nne 2019 na 2020

93 Views