Tazama hapa matokeo ya kidato cha sita 2019


NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
ACSEE 2019 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES

Tazama hapa matokeo ya kidato cha sita 2019

Hongera sana kwa kumaliza elimu ya kidato cha sita, Na sasa unatazama matokeo ya kidato cha sita 2019. Kutazama matokeo haya ni rahisi sana. Bonyeza link hapo chini utayaona kiurahisi kabisa.

Je unajua hapa www.jamiihuru.com unalipwa hata ukiwa shuleni? Ndio unaweza kuanza kufanya kazi ya kusajiri watu hapa mtandaoni mtu mmoja ukimsajiri anakulipa sh elfu 1, Mfano ukisajiri watu mia una laki moja. Kazi nzuri sana unaweza kuifanya hata ukiwa shuleni. Pia kuna kazi ya kuandika insha au mada za kuelimisha jamii unalipwa kwenye mtandao huu. Kupata akaunti yako leo leo wasiliana whatsapp kwenye group bonyeza link hiyo --- https://chat.whatsapp.com/CbDUpcFTWWfKAx49OlRI2Q 

Tazama matokeo ya kidato cha sita 2019 kwenye link hapo chini, lakini ukiona hukufanya vizuri sio mwisho wa maisha bado kuna fursa nyingi za kufanya sio wote walio na maisha mazuri walisoma na kufaulu mtihani wa kidato cha sita hivyo hata wewe kama matokeo hayakuwa mazuri bado unaweza kurudia au kusomea ufundi wowote au kuanza biashara. Usikate tamaa ya maisha kama matokeo hayakuwa mazuri. Tazama matokeo ya kidato cha sita 2019 kwenye link hii https://matokeo.necta.go.tz/acsee/acsee.htm

You might like to search for 

kuangalia matokeo ya kidato cha sita 2019

www.necta.go.tz 2019

matokeo ya kidato cha nne 2019

necta form six results 2019

matokeo kidato cha sita 2019

www.necta.go.tz 2019 acsee

www.necta.go.tz 2018 acsee

matokeo kidato cha nne 2019

 

70 Views