Jifunze jinsi ya kupata mpenzi kupitia mitandao kama whatsapp


Kumpata mchumba wa kuoa au kuolewa mtandaoni inawezekana soma zaidi

Habari ndugu, leo nakuletea makala nzuri na tamu ambayo inakufundisha jinsi unavyoweza kumpata mpenzi kupitia mitandao kama jamiihuru, facebook, whatsapp na hata mitandao mingine unayoijua kama instagram

Watu wengi wamekariri kuwa eti wanaotafuta wachumba mitandaoni ni malaya au hawana vigezo vya kupendwa mitaani kwao si kweli kwasababu unaweza kuwa binti mrembo tu upo mtaani na wanaume wanakuona lakini wanaogopa jinsi ya kukuanza ili wakupate, Pia inawezekana uliyeandikiwa hayupo kati ya wote wanaokuona hapo mtaani kwako. Kumbe sasa mtandao unakuwezesha kupata yule uliyeandikiwa hata kama akiwa marekani na wewe upo Tanzania,

Hii ni teknolojia na faidi ya teknolojia ni kurahisisha maisha, Kama ulikuwa unaona ngumu kupata namba ya wema sepetu mfano kupitia whatsapp unaweza kumpata wema sepetu na ukawasiliana, Sasa kama wema sepetu hajawahi pata maneno ya mwanaume mtaani kama unayompa wewe kwenye simu hakika lazima akutafute na muonane.

Wapo wanaosema kwenda kwa mtu usiyemjua ni risk au hatari nani kakudanganya, Umekutana na wageni wangapi hujawahi kuwaona toka uzaliwe lakini baada ya dakika chache mnakuwa kama ndugu. Hata mtu akikupenda yupo arusha na wewe upo mtwara unaweza kuonana nae na ukawa salama, chamsingi hakikisha kwa siku ya kwanza unaonana naye sehemu ya wazi kama uwanja wa mpira ambako watu wengi wapo au bar ambako kuna watu wengi na sio chumbani au porini. Pia hakikisha ukienda kumwona mtu anayekutaka kupitia mtandao hulali kwake kwa siku ya kwanza mkapa umjue kwao ndugu zao na marafiki zao yaani kama wewe upo iringa ni dada na umeitwa kwenda dar mfano hakikisha unamtafuta rafiki aliyeko dar na ufikie kwake kabla hujaenda kumwona huyo anayekutaka. Hapo utakuwa salama salimini

Kuna mtoa huduma mmoja anaunganisha wanawake na wanaume wa sehemu moja yani anaunganisha group la whatsapp ambalo lina wadada na wakaka wa sehemu moja kama moro mnaungwa wa moro tu ili iwe rahisi kutafutana na kuonana live unaweza pata huduma hii kwa kujiunga kwenye group la wachumba na marafiki whatsapp group link hii https://chat.whatsapp.com/Je9Z4BemnLZAD9Juhp9XRM

Kuna ushuhuda kama mmoja akiwa na digrii yake na mfanyakazi wa serikali ya tanzania amempata mke kwa kupitia facebook , Na mke wake ana ujauzito wa miezi sita mpaka leo hii naandika makala hii. Sasa huwezi amini huyo dada ni mcha mungu, mrembo, na amesoma chuo mipango. Kumbe whatsapp au mitandao inatumiwa na watu wengi wenye sifa mbali mbali mfano mapadre wapo whatsapp, wachungai wapo whatsapp masista wapo whatsapp rais yupo whatsapp sasa utasemaje kupata mchumba whatsapp ni uhuni wakati unaweza kutana na watu wenye sifa njema whatsapp? Kwani hakuna wadada mabikra ambao wana simu za whatsapp? je kama ni bahati yako kupata namba ya huyo binti bikra kupitia whatsapp mkawa marafiki mkatembeleana nyumbani mkajuana siku akaamua kukufunilia si utafurahia bikra ambayo hukuwahi kuipata maishani mwako mfano ulipokuwa ukitongoza wadada mtaani? Huo ndio ukweli tubadili mtazamo jamani mitandao ni kila kitu siku hizi.

Basi kama umeielewa makala hii usisite kuelimisha wengine bonyeza share hapo kisha mtumie rariki facebook. Kuna alama za kushare hapo zitazame kisha share na wengine waelimike.

Comment hapo chini unataka mada gani niandike kati ya hizi

namna ya kupata mchumba mwema

jinsi ya kumtambua mchumba wa kweli

jinsi ya kuchagua mchumba

sifa za mchumba bora

dua ya kupata mchumba mwema

sala ya kuomba kupata mchumba

maombi ya kuolewa