Jinsi ya kutafuta mchumba mwema hapa jamii huru


Jifunze jinsi ya kutafuta mchumba hapa jamiihuru

Jinsi ya kupata mchumba mwema hapa jamii huru

Mtandao huu unakusaidia kupata mchumba mwema aliyekuwa na sifa nzuri, Kuna watu hawaamini kama mtandao unaweza kukupa mchumba, Kuna ushahidi wa kutosha watu walijuana mtandaoni na kuanza uraiki na kuoana na wanaishi vizuri tu.

Kwanini useme uchumba hauwezi patikana mtandaoni wakati mtandao unatumiwa na watu wa kila aina mfano walimu, wachungaji, walokole, na watu wa sifa mbalimbali,

Ukitaka mchumba hapa inawezekana unachotakiwa ni kufanya kitu kifuatacho

Andika post moja ukieleza sehemu unayoishi na sifa unazotaka mchumba wako awe nazo. Mtandao huu unatumiwa na watu walio karibu na unapoishi mfano kama upo dar utawapata watu wa dar kwa kusearch kwenye link hii https://www.jamiihuru.com/friends-nearby/

Hapo utachagua nataka kutafuta marafiki walio ndani ya kilomita moja au mbili mfano. Mtandao utakuletea watu wowote waliopo ndani ya kilomita 3 yaani ndani ya kata moja na unaweza kuchagua mtandao ukuletee watu wa kike tu au wa kiume tu hapo utaanza kuchagua watu wenye sifa unazotaka na kuwatumia ujumbe kuwa unataka kuwa rafiki na mtaweza onana kwakua wote mpo kata moja au wilaya moja. Mfano ukisearch watu waliopo ndani ya kilomita 50 hapo unawapata watu waliopo ndani ya wilaya au mkoa ukiseach watu waliopo kilomita moja hapo unawapata waliopo ndani ya mtaaa wako au kijiji. 

Huu ndio mtandao wa jamiihuru.com unatoa huduma nzuri za kupata wachumba wa kweli. Jiunge sasa www.jamiihuru.com uanze kupata huduma

 

Hakuna haja ya kuhangaika eti hupati mchumba wakati teknolojia imekuwa na inasaidia kukutanisha watu.

Muda mwingine nitaandika makala kuhusu 

sifa za mke mwema katika biblia

sifa za mke mwema katika uislamu

sifa za mwanaume anayekupenda

namna ya kupata mchumba mwema

jinsi ya kuchagua mchumba

sifa za wife material

sifa za mwanamke wa kuoa katika uislamu

jinsi ya kupata mchumba wa kweli

natafuta mchumba 2019

natafuta mchumba wa kike 2019

natafuta mchumba wa kunioa

natafuta mchumba 2020

natafuta mchumba wa kizungu

natafuta mchumba wa kiume 2020

natafuta mchumba wa kunioa 2020

natafuta mume 2019