Tunatengeneza redio za mtandaoni bei poa.


Anza kumiliki redio ya mtandaoni ambayo unaweza kutangaza live kwa kompyuta yako.

Teknolojia imekuwa sasa kila mmoja anaweza kumiliki redio na kutangaza vipindi au kupiga miziki kama redio yoyote unayoijua Tanzania. Tofauti ni kwamba kumiliki redio ya mtandaoni haihitai kuwa na mitambo au leseni kama ilivyo kwa redio za kawaida, Pia redio ya mtaandaoni inasikika duniani kwote kwa wanaotumia intaneti yani kwenye simu na kompyuta watakupata live.

Redio ya mtandaoni inatengenezwa kwa sh laki moja na hamsini tu. Unalipia mara moja na hutalipia tena maishani bali utakuwa unaingiza pesa kwa kurusha matangazo ya baishara ya watu au kucheza miziki ya wasanii na wanakulipa. mfano redio yako ikipata mashabiki wa kuisikiliza duniani kote hakika msanii wa Tanzania atatamani mziki wake usikike ne ya nchi ili apate show za nje hapo hata ukimwambia kurusha wimbo wake wa siku ni laki moja atakubali na atakulipa laki ili umrushie wimbo wake.

Hii redio unayotengenezewa ni automatic yaani unaseti vipindi, miziki,matangazo ya biashara kisha unazima kompyuta hata mwezi mzima yenyewe itarusha vipindi, miziki na matangazo mwezi mzima kama ulivyoseti.

Redio itakuwa na App ambayo watu wataidownload na kuweka kwenye simu zao ili wafuatilie vipindi kwa urahisi na wasikilize miziki kwa urahisi.

Kwa sh 150,000 tu sasa utaweza kuwa milionea kwa kumiliki redio inayokuingizia pesa nzuri kama redio nyingine. Wasiliana whatsapp 0620827531 Kutengenezewa redio yako ndani ya siku mbili.

Watu pia wanatafuta

matumizi ya redio

umuhimu wa redio

insha ya umuhimu wa redio

radio

online radio tanzania

list of radio stations in tanzania

historia ya redio

umuhimu wa redio katika jamii