JINSI KIJANA UNAVYOWEZA KUJIAJIRI MTANDAONI KWA KUMILIKI BLOG.


Anza kujiajiri kwa kumiliki blog, App, You tube channel au redio ya mtandaoni

JINSI KIJANA UNAVYOWEZA KUJIAJIRI MTANDAONI KWA KUMILIKI BLOG.
 
Habari mtumiaji wa mtandao wa facebook, Leo nakufundisha jinsi unavyoweza kuanza kutengeneza si chini ya laki 3 kwa mwezi ukiwa unajishughulisha na kazi ya kufundisha chochote kwenye blog yako.
 
Blog ni nini?
 
Blog ni mtandao ambao unaweza kuweka makala, habari, video, picha au sauti. Blog zinatumiaka kufundisha jamii kitu chochote ulichosomea au ambacho una ujuzi nacho.
 
Kama una simu ya smartphone au kompyuta hakika hii ni kazi nzuri ambayo hutakiwi kuipuuzia kwa leo la kuinua uchumi wako binafsi na uchumi wa Taifa letu.
 
Ukimiliki blog utaweza kufundisha chochote mfano mada za mapenzi na mahusiano, kilimo,ufugaji, kuhamasisha ujasirimali, mafundisho ya dini au kiroho, au kuweka taarifa kama za nafasi za kazi kwenye blog yako. Hiyo ni mifano tu bali unaweza weka chochote au fundisha chochote kwenye blog na utatengeneza zaidi ya laki 3 kwa mwezi.
 
Unapataje pesa?
 
Blog yako ukiandika chochote itapata wasomaji toka google hivyo utakuwa unalipwa kwa matangazo ya baishara za watu yanayooneshwa kwenye blog yako kama ilivyo kwa television vodacom wanatangaza biashara zao na mwenye kituo cha television analipwa toka kwa kampuni ya voda.
 
Unapatae blog?
 
Ni rahisi sana wasiliana whatsapp au sms za kawaida 0620827531 utengenezewe blog ambayo itaunganishwa na matangazo ya biashara siku hiyo hiyo na uanze kulipwa ndani ya mwezi mmoja. Gharama za kutengeneza blog hazizidi sh elfu 19.
 
Pia Ukitaka app ni sh elfu 25, Ukitaka kuwekewa playstore unalipia elfu 35, Ukitaka redio ya mtandaoni ambayo inatangaza vipindi ulivyoandaa na miziki uliyoipangilia mwezi mzima ukiwa umezima kompyuta ni sh laki na 50, Ukitaka youtube channel ni sh elfu 15 ukitaka email adress ni sh elfu 10 ukitaka kutangaza chochote online ni sh elfu 30 kwa mwezi. Akaunti za adsense laki moja na 50
 
Mafunzo yanatolewa bure jinsi ya kuendesha blog App redio za mtandaoni na youtube channel unayotengenezewa na kupata pesa nzuri kila mwezi.
 
KIjana jiajiri sasa ili uajiri na vijana wengine angalau wawili. Ajira ni Tatizo duniani. Mimi na wewe tunaweza kutatua tatizo hili.
 
Hakikisha unashare makala hii kwa marafiki na kwenye magroup ili utengenezewe blog kwa punguzo la sh elfu 9 nzima
103 Views