Tengeneza pesa kwa kurekodi video fupi. Tumia simu yako tu.


Rekodi video fupi inayohusu kitu chochote Ulipwe. Tumia simu yako tu

Habari  ndugu msomaji wa makala hii. Nakutambulisha kwako fulsa mpya ya kwanza toka Tanzania sasa unaweza kulipwa kwa kila video unayorekodi kwakutumia simu yako au kamera au kompyuta yako.

Video yoyote inakubaliwa ili mradi iwe na maadili na iwe na manufaa kwa watazamaji wote duniani. Unaweza kurekodi video za kufundisha jamii kufanya kitu chochote mfano fundisha kutengeneza bustani za mboga au maua, Fundisha kufuga kuku, Fundisha kupika ugali, Fundisha kutengeza kitu chochote ulicho na ujuzi nacho.

Unaweza kurekodi video za kutoa burudani mfano rekodi ukiwa unaimba wimbo au ukiwa unacheza wimbo ukiwa unasoma mashairi, ukiwa inaigiza mfano video za vichekesho au ukiwa unacheza mchezo wowote.

Unaweza kurekodi chochote upendacho ili mradi kiwe na manufaa kwa jamii inayotazama video yako na kiwe na maadili.

Jinsi ya kurekodi video hiyo:

hukua simu ya mkononi ya smart phone Kisha mpe rafiki yako akurekodi ukiwa unafanya kitu hicho kama ukiwa unaelezea kwa vitendo jinsi ya kutengeneza bustani ya maua pembezoni mwa nyumba yako au nyumba yoyote unayoweza kurekodi video. Hakikisha unataja jina lako mmiliki wa video hiyo unaweza kumtaja na aliyekurekodi kwa kumpa hadhi ya kamera man wako.

Ili kujua Malipo kwa kila video unayorekodi wasiliana nasi whatsapp au telegram au wasapu au kwa sms za kawaida tu kwa namba 0652428852 tafadhali usipige namba hii. Pia unaweza wasiliana hapa hapa jamaa online comment hapa chini au nifuate inbox.

Masharti ya muhimu ya kuzingatia kabla hujatuma video yako

  1. Video yako isiwe imewekwa kwenye mtandao wowote duniani mfano you tube, vimeo, daillymotion, facebook, whatsapp instagram na mitandao mingineyo kama hiyo na blogs.
  2.  Video isiwe na lugha za matusi au uchochezi au kukosa maadili.
  3. Video yako iwe imerekodiwa na wewe uliyoituma yaani sauti iliyomo kwenye video iwe ni sauti yako halisi na si ya mtu mwingine. Kama utaleta video ya mtu mwingine mfano mwanao au mkeo basi lazima yule mwenye video ndiye ailete video kwa niaba yako au tutahakiki kama sauti iliyopo kwenye video ni ya huyo mtu akipigiwa simu
  4. Unakubaliana  na masharti ya malipo ambayo utapewa mara tu ukiwasiliana nasi kwa namba hapo juu kabla hujatuma video yako
  5. Unakubaliana kuwa video ikishaletwa kwenye Milionea Tv haiwezi kufutwa au kuondolewa kwa watazamaji bila ridhaa ya uongozi wa Milionea Tv
  6. Masharti haya yanaweza boreshwa au kuongezwa muda wowote  ikihitajika ili kutoa huduma nzuri zaidi kwa jamii nzima inayonufaika na Milionea TV

Karibu tutengeneze fulsa kwa kutumia mitandao badala ya kupoteza muda mitandaoni kwa kupost vitu visivyo na manufaa kwenu na kwa Taifa letu

Download app ya milionea Tv bonyeza hapa

708 Views