Jipatie adserver ya bure uitumie kuuzia matangazo kwenye blog yako


Sasa utamiki mtandao wa matangazo kama google adsense na utatajirika

Leo nataka nikupe fulsa mpya ya kutumia adserver ya bure ambayo utaitumia kama ad network au kwa kiswahili tunasema mtandao wa matangazo kama google adsense au seebait au mtandao wowote unaoujua unaofanana na hiyo miwili.  Tumia teknolojia ya kisasa kushawishi watu kutangaza kwenye blog yako au blog zako zote au app zako zote unazotengeneza.

Ad server hii ina faida zifuatazo:

  1. Unaweza kutengeneza mfumo wa matangazo uliounganisha blog au websites na app zaidi ya bilionis hakuna kikomo cha blog au app za kuunganisha. kwa kufanya hivyo utakuwa umemiliki mtandao wa matangazo ambao watu watakuwa wanaweka matangazo ya biashara na wanakulipa wewe kama google adsense inavyotengeneza pesa.
  2. Utaweza kuwatoza watu wanaotangaza biashara kwa kulipia kwa idadi ya wanaoona matangazo yaani pay per impressions au kwa idadi ya wanaobonyeza matangazo yaani pay per click
  3. Utaweza kuona ripoti ya kila saa jinsi matangazo ya watu wanavyozidi kuoneshwa. Pia wenye matangazo hayo wataweza kuona pia ripoti
  4. Utatumia nafasi ndogo kwenye blog zako kuonesha matangazo yote hata yawe bilioni na zaidi mfano sehemu ya size 728x90 tu inaweza kuonesha matangazo yote unayoweka kwenye mfumo wako wa matangazo.
  5. Watu wengi watavutiwa kutangaza kwenye mfumo wako au kwenye blog zako kwakua wanaweza kujua jinsi matangazo yao yanavyooneshwa kwa kuona ripoti kwenye mfumo wa matangazo kwa siku kwa wiki kwa mwezi kwa mwaka hata kwa muda wowote waliotangaza
  6. Ni mfumo wenye faida kwa watu wowote wanaotengeneza blog au app kwa ajiri ya kuwauzia wateja. Mafundi hawa kwa mwaka wanaweza kuunganisha blog zaidi ya elfu kumi kwenye mfumo wao wa matangazo yaani kila blog unayomtengenezea mteja unaweka code za matangazo na kukubaliana na mteja huyo jinsi mtakavyolipana kwa mwezi.
  7. Kuna faida nyingine nyingi kama kujitengenezea ajira yako binafsi kwa kumiliki mfumo wa matangazo unaolipa

Tazama mfano wa mfumo wa matangazo utakao umikili bure Bonyeza hapa

Kisha username weka: example

Password weka:exampleaccount

Hiyo password unganisha maneno kama yalivyo hapo usiache nafasi katikati

Halafu tazama mfumo unavyofanya kazi, Jaribu kutengeneza tangazo 

Mwisho chukua codes hizi hapa chini ambazo utakuwa unaziweka kwenye blog zote unazomikili au blog zote za watu ambao wanataka wajiunge kuonesha matangazo yako na uwalipe kiasi fulani kama kwa idadi ya wanaosoma blog zao kulingana na google analytics

Code ni hizi

 


<script type='text/javascript'><!--//<![CDATA[
document.MAX_ct0 = unescape('{clickurl_enc}');

var m3_u = (location.protocol=='https:'?'https://www.millionaireads.jamaaonline.com/www/delivery/ajs.php':'http://www.millionaireads.jamaaonline.com/www/delivery/ajs.php');
var m3_r = Math.floor(Math.random()*99999999999);
if (!document.MAX_used) document.MAX_used = ',';
document.write ("<scr"+"ipt type='text/javascript' src='"+m3_u);
document.write ("?zoneid=13&amp;source=My+ad+label+here&amp;target=_blank&amp;withtext=1");
document.write ('&amp;cb=' + m3_r);
if (document.MAX_used != ',') document.write ("&amp;exclude=" + document.MAX_used);
document.write (document.charset ? '&amp;charset='+document.charset : (document.characterSet ? '&amp;charset='+document.characterSet : ''));
document.write ("&amp;loc=" + escape(window.location));
if (document.referrer) document.write ("&amp;referer=" + escape(document.referrer));
if (document.context) document.write ("&context=" + escape(document.context));
if ((typeof(document.MAX_ct0) != 'undefined') && (document.MAX_ct0.substring(0,4) == 'http')) {
document.write ("&amp;ct0=" + escape(document.MAX_ct0));
}
if (document.mmm_fo) document.write ("&amp;mmm_fo=1");
document.write ("'><\/scr"+"ipt>");
//]]>--></script><noscript><a href='http://www.millionaireads.jamaaonline.com/www/delivery/ck.php?n=afc016da&amp;cb={random}' target='_blank'><img src='http://www.millionaireads.jamaaonline.com/www/delivery/avw.php?zoneid=13&amp;source=My+ad+label+here&amp;cb={random}&amp;n=afc016da&amp;ct0={clickurl_enc}' border='0' alt='' /></a></noscript>

 

Zijaribu weka kwenye blog yako moja uone matangazo yanavyooneshwa na matangazo yako uliyotengeneza kwenye mfumo yatakavyooneshwa. 

Ukiupenda mfumo huo na kuuhitaji basi tuma sms whatsapp au telegram kwa namba 0652428852 utaunganishwa na mfumo huo bure. Usipige simu hiyo tuma whatsapp au telegram tu wala usitume sms za kawaida. Karibu

2333 Views