Dunia ina mambo


Msingi wako na wazo lako ndiyo mafanikio yako

ili kufanikiwa unahitaji juhudi nyingi sana pasipo kutazama nyuma maana dunia hii tunayoisha na kukaa kuna mambo mengi sana ya kurudishana nyuma usipo kuwa makini na mipangilio ya mambo yako yenye msingi kwa manufaa yako binafai na jamii inayokuzunguka kwa ujumla

342 Views