jinsi ya kutengeneza pesa kupitia apps na blog
Wakati wewe unahofu kumiliki blog wenzio wanatengeneza pesa nzuri kwa matangazo kwenye blog zao. Pata blog leo yenye matangazo uanze kulipwa kila mwisho wa mwezi, blog unatengenezewa kwa shilingi elu 19 tu. comment hapo chini kama unataka blog yenye matangazo au app yenye matangazo ulipwe kwa idadi ya wanaotazama blog yako au app yako, Mfano app ikisomwa mara laki moja unalipwa laki mbili
Kutokana kukua kwa teknolojia kuna njia nyingi ambazo unaweza kuzitumia kutengeneza pesa kupitia internet na mitandao ya kijamii. Na watu wengi sasa hivi tumekuwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii huku bado tukishindwa kufahamu ni jinsi gani mitandao hii tunaweza kuitumia na kutengeneza pesa. Nadhani unaweza kujiuliza unawezaje kutengeneza pesa kwa kutumia internet na mitandao ya kijamii.
Hizi ndio njia unaweza kutumia kutengeneza pesa kwa kutumia internet na mitandao ya kijamii.
Unaweza kutumia mitandao ya kijamii kutangaza biashara
Kama wewe ni mfanya biashara unaweza kutumia mitandao ya kijamii kutangaza biashara yako na kupata wateja wengi zaidi na kupata fursa mpya. Baada ya kutumia mitandao ya kijamii kucomment kwa mada ambazo hazina msaada kwako na kwa jamii. Wafanya biashara wengi ambao wanatumia mitandao ya kijamii vizuri imewasaidia kuongeza wateja na kipato, vilevile ni njia rahisi ya kuongeza kipato.
Kufungua blog yako na kuindesha kwa kuandika makala, kuhabarisha n.k
Kwa kuwa mmiliki wa blog na kuindesha blog yako unatengeneza njia nyingi za kipato. Blog yako ikiwa na watembeleaji wengi ni rahisi kutengeneza kipato kwa makampuni yatakayoweka matangazo. Ila kama utakuwa na blog ya kuandika makala zako unaweza kuuza huduma yako kwa kuandika vitabu, kuandaa semina kwa sababu watu watakuwa wamekuamini kutokana na makala zako nzuri.
Unaweza kutumia mtandao wa kijamii kutangaza biashara za watu wengi na kutengeneza pesa
Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii basi unaweza kutumia dakika chache kwa kutangaza biashara za watu na ukalipwa pesa yako kwa m-pesa, tigo pesa na paypal kwa wanaoishi nje ya Tanzania.
Je wewe ni mtalamu wa blogs au apps au youtube channel? Anza sasa kuingiza pesa nzuri kwa kuandika makala za kufundisha watu jinsi ya kutengeneza pesa online Unalipwa kwa kila post unayoandika jisajiri sasa dakika 3 tu www.jamiihuru.com/register Mfano wa topics
jinsi ya kutengeneza pesa kupitia apps
jinsi ya kutengeneza pesa kwa haraka
namna ya kutengeneza pesa
jinsi ya kufungua blog ya biashara
jinsi ya kupata ela kupitia blog
jinsi ya kutengeneza pesa kupitia whatsapp
jinsi ya kupata pesa kwa kutumia internet
jinsi ya kupata pesa kwa kutumia simu