Habari za leo, Tunahitaji watu wa kufunisha mapishi ndani ya mtandao huu wa wa www.jamiihuru.com Unalipwa kwa post unazoandika humu ziwe original sio za kukopi toka kwenye mitandao Kwanza Jisajiri kwenye mtandao huu dakika 3 tu na ni bure bonyeza link hii www.jamiihuru.com/register halafu mada zako lazima ziwe na tittle kama hizi hapa chini unaweza kuongeza maneno yako lakini vichwa vya habari tumia hivi hapa chini. Kwa lugha nyingine kwenye kichwa cha habari lazima kuwe na sentensi kama hizi hapa chini
Jinsi ya kupika mayai aina tofauti
Jinsi ya kupika tambi za mayai
Jinsi ya kupika wali
Jinsi ya kupika rosti la mayai ya kuchemsha
jinsi ya kupika pilau
jinsi ya kupika pilau la kuchambuka
jinsi ya kupika pilau simple
jinsi ya kupika biriani
jinsi ya kupika pilau bubu tamu
jinsi ya kupika chapati
jinsi ya kupika ndizi
jinsi ya kupika pilau maua
jinsi ya kupika keki robo kilo
jinsi ya kupika keki ya chocolate
jinsi ya kupika keki kwenye microwave
jinsi ya kupika keki kwa oven
mahitaji ya keki robo
jinsi ya kupika half keki
keki ya zebra
mahitaji ya keki kilo moja