Jenga nyumba za kupangisha morogoro mjini hata kama upo mbali na morogoro

Comments · 94 Views

Tunakusaidia kusimamia ujenzi wa nyumba yako kuanzia kupata kiwanja hadi kumpata mpangaji

 Welcome to JamiiHuru.com Social network where you can make money online doing two main tasks 

ADVERTISEMENT End of Advertisement

By joining jamiihuru.com you will get these benefits 1. You get paid $1.00 USD if you invite a friend from whatsapp, facebook, twitter or any other website to join this social network www.jamiihuru.com ,Assume you invite 100 friends from whatsapp group today you make $ 100 USD today. 

2. You get paid when you create original contents in this social network like Teach people how to do things, Inform or Entertain people get paid per post create your account in three minutes www.jamiihuru.com/register 

You can download Android App and install on your mobile phone in 2 minutes from this link http://bit.do/JAMIIHURUAPP


Umeajiriwa mbali na morogoro na unapenda kuwekeza morogoro?

Umbali sio tatizo tena kama umeajiriwa mbali na morogoro lakini ungependa kuanza kuwekeza morogoro basi karibu uweze kupata kiwanja kwa bei nafuu na kiwanja kinanunuliwa bila hata wewe kuja morogoro kila kitu tunamaliza sisi tutakujengea nyumba yako kuanzia msingi mpaka kukutafutia mpangaji wewe kazi yako ni kutuma pesa za ujenzi na kuanza kupokea pesa za kodi toka kwa wapangaji wako wapya

Kujenga sio lazima uanze na mijumba ya milioni 10 na kuendelea anza na ujenzi wa chumba kimoja master kwa milioni 4 tu upangishe uchukue elfu 50 kila mwezi. Jiwekee utaratibu wa kujenga chumba kimoja self container kila mwaka baada ya miaka kumi utakuwa na vyumba kumi ambavyo utapokea sh laki tano kila mwezi, hii ni zaidi ya mshahara wa uhakika. Kama wewe ni mwalimu au mtumishi wa serikali chukua wazo hili baada ya miaka kumi utakuwa boss wa miradi yako na kukabidhi chaki kwa aliyekupa ukihitaji.

Wasiliana nasi whatsapp bonyeza link hii https://wa.me/+255652428852 tukusaidie mwanzo mwisho kukupa wazo bora la kufanya na kusimamia mradi wako ndani ya morogoro manispaa au wilaya ya mvomero na kilosa hata kama umeajiriwa songea miradi yako itastawi kwa usimamizi unaotolewa unaweza jisajiri hapa www.jamiihuru.com kisha tuwasiliane tunatumia jina la huduma mwekezaji.

Tunatoa pia huduma ya kusimamia mashamba ya miti, mashamba ya parachichi au michikichi hata kama upo mwanza tutakusaidia kutafuta shamba zuri tutakununulia tutakupandia miti hiyo na kukutunzia mpaka siku ya wewe kuwa karibu na mashamba yako yaani siku utakayostaafu au kurudi morogoro kwa uhamisho. Usithubutu kumpa ndugu kazi ya kusimamia ujenzi wa nyumba yako au miradi ya mashamba yako kumbuka kumfunga ndugu ni ngumu sana lakini kumfunga mtu baki ni rahisi hivyo tupe kazi ya kusimamia miradi yako morogoro hata kama upo kikazi mikoa ya mbali na hutajutia kutumia huduma hii.

Jifunze zaidi kuhusu 

jamiihuru.com needs content creators or article writers you get paid per post create your account now from this link www.jamiihuru.com start writing very interesting articles like this you read now. Each post earns you money You can download android App from this link http://bit.do/JAMIIHURUAPP

ADVERTISEMENT End of Advertisement

Thank you for taking your time reading this article hope you have enjoyed. Now you can write your own article that teachs or entertains or informs and get paid, create your account in three minutes from this link www.jamiihuru.com or download Android App from this link http://bit.do/JAMIIHURUAPP

Help to share this article on facebook twitter e.t.c though buttons below
  • Comments
    ADVERTISEMENT End of Advertisement