Tibu tezi dume bila upasuaji

Comments · 61 Views

Soma makala hii usije pata tezi dume na kuanza kuhangaika tiba ya tezi dume

 Welcome to JamiiHuru.com Social network where you can make money online doing two main tasks 

ADVERTISEMENT End of Advertisement

By joining jamiihuru.com you will get these benefits 1. You get paid $1.00 USD if you invite a friend from whatsapp, facebook, twitter or any other website to join this social network www.jamiihuru.com ,Assume you invite 100 friends from whatsapp group today you make $ 100 USD today. 

2. You get paid when you create original contents in this social network like Teach people how to do things, Inform or Entertain people get paid per post create your account in three minutes www.jamiihuru.com/register 

You can download Android App and install on your mobile phone in 2 minutes from this link http://bit.do/JAMIIHURUAPP


JALI AFYA YAKO

Makala hii imeandaliwa na Dr HASSAN no 0744540052

UGONJWA WA TEZI DUME

- Tezi dume ni Moja ya tezi ya uzazi ya mwanaume ambayo Kila mwanaume anayo.

- Tezi hii ipo chini ya kibofu Cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo kutoka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

✓✓ Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nayo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au wa saratani.

♣️ KAZI YA TEZI DUME
✓✓ kutoa majimaji yanayobeba mbegu za kiume(manii)

♣️ AINA ZA MAGONJWA YA TEZI DUME.

1) Mambukizi ya bakteria (prostatitis) .

2) Kukua Kwa tezi dume ambayo sio saratani ( benign prostatic hypertrophy (BPH))

3) Saratani ya tezi dume.

♣️ UPIMAJI WA TEZI DUME

✓✓ Zipo njia nyingi zinazotumika kupima au kuchunguza tezi Dume.

1) Njia ya kutumia kidole Cha shahada.

- Njia hii ilikua inatumika zamani kutokana na teknolojia kua ndogo na kazi ya njia hii kuangalia ukubwa we tezi dume kwenye ukuta wa Puru.

- njia hii hupimwa Kwa kupitisha kidole katika njia ya haja kubwa.

2) Kipimo Cha Damu.

- Kipimo hiki huangalia kiwango Cha protein iitwayo PROSTATE SPECIFIC ANTIGEN

- kama mtu atakua na Mambukizi ya tezi dume au Saratani ya tezi dume kiwango Cha hio protein hua juu kuliko kawaida.

3) Kuchukua kipande Cha nyama kwenye tezi (PROSTATES BIOPSY) Kwa uchunguzi wa kimaabara.

4) vipimo vya CT SCAN kutambua kama saratani imesambaa Sehemu nyingine za mwili.

♣️ TATIZO LA TEZIll DUME KUTANUKA

✓✓ Tezi hii ikiongezeka (kupanuka) Kwa ukubwa hasa Kwa Wanaume wanaoanzia miaka 50 na kuendelea hutatiza kukojoa.

✓✓ Ugonjwa huu unazidi kuongezeka duniani Kwa Wanaume kwani watu huishi miaka mingi siku Hadi siku.

♣️ DALILI ZA KUPANUKA KWA TEZI DUME.

1) Kukojoa mara Kwa mara hususani nyakati za usiku.

2) kulazimika mara nyingi hasa nyakati za usiku kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka hata pale mtu anapohisi kua kibofu kimejaa.

3) Mkojo kutiririka pole pole , hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka.

4) Mkojo kushindwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.

5) Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa matone ya mkojo huendelea kutoka na muda mwingine husababisha nguo za ndani kuloa.
NB Dalili hizi mara nyingi huonekana Kwa Wanaume wenye miaka 50 na zaidi.

♣️ MATATIZO YA TEZI DUME KUTANUKA

1) mkojo kushindwa kutoka kabisa.

2) Madhara kwenye kibofu Cha mkojo na Figo.

♣️ SARATANI YA TEZI DUME

✓✓ Hii hutokea pale ambapo chembechembe hai za tezi dume huasi na kuanza kujigawanya bila kufuata uataribu wa mfumo wa mwili.

✓✓ Mwishowe hutengeneza uvimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini.

♣️ VISABABISHI HATARI KWA SARATANI YA TEZI DUME.

1) Umri mkubwa wa kuanzia miaka 50 na zaidi.

2) Nasaba (Ukoo wenye historia ya saratani ya tezi dume)

3) Mambukizi ya mara Kwa mara kwenye tezi dume.

4) unene uliokithiri.

♣️ DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME.

1) Udhaifu katika utoaji mkojo (mkojo hauishi).

2) kwenda kukojoa mara Kwa mara.

3) kukojoa Damu au muda mwingine kushindwa kukojoa.

4) Maumivu ya mifupa na nyonga.

♣️ MATIBABU YA TEZI DUME

✓✓ Kuna njia nyingi zinazotumika katika kutibu ugonjwa huu ikiwemo upasuaji ( OPERATION)

✓✓ Lakini njia hii imekua na changamoto nyingi kwani husababisha Madhara yafuatayo,

1) Baada ya upasuaji Kwa muda wa miezi 6 Hadi 12 mgonjwa hatakiwi kushiriki tendo la ndoa.

2) Baada ya upasuaji Kwa muda wa miezi 3 Hadi 6 mgonjwa atatakiwa kuvaa nepi Kwni hatoweza kuuzuia mkojo wakati wa kukojoa na atakua anakojoa Damu.

3) Kuna mshipa wa uliopita karibu na tezi dume wakati wa upasuaji DAKTARI akiugusa tu husababisha kupotea Kwa nguvu za kiume kabisa.

NB Njia hii inahitaji Daktari mbobevu sana ili kufanikisha zoezi kwenda vizuri.

LAKINI kampuni ya BF-SUMA kutoka NCHINI MAREKANI inakuletae Dawa Bora zilitongenezwa Kwa TEKNOLOGIA kubwa kutibu tatizo hili bila upasuaji.

✓✓ Dawa zetu utatumia Kwa muda wa mwezi mmoja na nusu tu Baada ya hapo utaenda kupima kwenye hospitali yeyote Ile unayoiamini.

✓✓Matibabu yetu yapo ya aina mbili Kwa wale waathirika wa KANSA YA TEZI DUME na Kwa wale ambao HAWANA KANSA YA TEZI DUME wote wanatibika bila ya UPASUAJI


*AFYA KWANZA* .

✓✓ kampuni kubwa ya bidhaa za afya Duniani *BF-SUMA* kutoka *NCHINI MAREKANI* inakuletae *BIDHAA(DAWA)* mbalimbali za matatizo sugu ya kiafya na kuboreshe afya Yako kama zamani.

✓✓ Matatizo yafuatayo yanatibiwa na DAWA zetu zilizotengenezwa Kwa *TEKNOLOGIA* ya Hali ya juu.

1 *)MATATIZO YA MFUMO WA DAMU*
-presha ya kupanda(hpertension)
-macho kutoona vizuri.
-miguu kujaa ganzi.
-matatizo ya mishipa ya Damu.

2) *MATATIZO YA VIUNGO NA MIFUPA*
-matatizo yote yanayohusu mifupa hutibiwa na Kampuni hii.

3) *MATATIZO KATIKA MFUMO WA WANAWAKE* .
-Tatizo la uzazi.
-uvimbe katika kizazi na uvimbe katika mfuko wa kizazi.
-uke mkavu.
-maambukizi ya bakteria katika Sehemu za Siri ya mwanamke na fangasi sugu.
-kupata hedhi nyingi kupita kiasi.

3) *MATATIZO YANAYOSABABISHWA NA KUVURUGIKA KWA HOMONI*
-Kutoshika mimba.

jamiihuru.com needs content creators or article writers you get paid per post create your account now from this link www.jamiihuru.com start writing very interesting articles like this you read now. Each post earns you money You can download android App from this link http://bit.do/JAMIIHURUAPP

ADVERTISEMENT End of Advertisement

Thank you for taking your time reading this article hope you have enjoyed. Now you can write your own article that teachs or entertains or informs and get paid, create your account in three minutes from this link www.jamiihuru.com or download Android App from this link http://bit.do/JAMIIHURUAPP

Help to share this article on facebook twitter e.t.c though buttons below
  • Comments
    ADVERTISEMENT End of Advertisement