TATIZO LA KUKOJOA KITANDANI


Tumia hii

Tatizo La Kukojoa Kitandani.

Kama una tatizo la kukojoa kitandani,tumia mizizi ya mbaazi kwa kuchemsha,na kunywa maji yake kutwa mara mbili kwa siku, kwa muda wa siku kumi na nne.

TATIZO LA KUKOJOA KITANDANI