Mtihani wa kidado cha sita 2018 na matokeo ya kidado cha sita 2018


Fuatilia matokeo ya kidato cha sita 2018 hapa pia soma ushauri huu

Mtihani wa kidato cha sita 2018 na matokeo ya kidato cha sita 2018 tupeane habari hapa

 

Matokeo ya kidato cha sita 2018, Habari za wahati huu, mtihani wa kumaliza kidato cha sita 2018 umeanza mwezi mei 2018, mtihani huo unaendelea nchi nzima, wanafunzi hawa wanahitimu mafunzo yap ya kidato cha sita 2018 na kama watabahatika kufanya vizuri watajiunga na vyuo vikuu au vyuo vya ualimu vya diproma na vyuo vingine ili waweze kupata mafunzo huko na kuanza kutafuta ajira mtaani.

Hakuna anayeweza kupinga kuwa baada ya matokeo ya kidato cha sita 2018 wanafunzi hao wataanza kutafuta vyuo vya kujiunga na elimu ya juu. Hivyo kama mdau wa elimu toa taarifa mapema kuwa matokeo ya kidato cha sita 2018 yametoka basi tazama hapa. Kwa muda huu ukiwa unasubiria matokeo aya kidato cha sita 2019/2019 jisajiri na mtandao huu wa jamaa online ili uweze kupata habari kwa urahisi zaidi kupitia simu yako. Bonyeza maandishi ya blue yafuatayo www.jamaaonline.com/?ref=blogger au weka app kwenye simu yako ya smartphone kwa kubonyeza maandishi ya blue yafutayo https://play.google.com/store/apps/details?id=com.jamaa.online.com.app

Ukiweka app hiyo kwenye simu yako siku matokeo kidato cha sita yakitangazwa tu utatumiwa ujumbe hivyo hata kama utaenda kijijini au sehemu ambayo hakuna magazeti hakuna umeme wa kuangalia TV au redio za FM hazishiki utaweza kupata habari kwa haraka kama watu wengine waliopo kwenye maaeneo ya mtandao mzuri wa simu na vyombo vya habari.

Ewe uliyemaliza kidato cha sita 2018 umejipangaje na kujiunga na chuo kikuu, au chuo chochote utakachojiunga. Huu ndio muda wa kutafakari unataka kusoma chuo gani na kozi gani ili uweze kupata muda mrefu wa kufanya utafiti kozi ambazo zina nafasi kubwa ya kupata ajira baada ya kumaliza masomo yako ya chuo kikuu au chuo hicho ambacho utafanikiwa kujiunga nacho.

Ajira ni tatizo nchini hakuna asiyejua, Kuna vijana wana maiaka zaidi ya 10 hawajaajiriwa popote pale, Hapa sikutishii ili usijiunge na chuo la hasha kila mtu na bahati yake lakini nakujuza ili uweze kujipanga kuwana Plan B ambayo ni kujiajiri mwenyewe kama utakosa ajira za kuajiriwa na serikali au mashirika binafsi.

Hapa nchini kuna fulsa nyingi sana ambazo ukimaliza chuo na kuanza kuzitumia hakika hutahangaika kupata pesa za matumizi kama wanavyohangaika vijana wengi sasa hivi ambao hawataki au hawana mtizamo wa kujiajiri wenyewe. wengine ni woga wanahisi hawawezi fanikiwa. Kijana uliyemaliza kidato cha sita 2018 jipange mtaani si sehemu ya mchezo mchezo.

Wale wenzangu ambao hatutafaulu au kuchaguliwa na vyuo hapa nchini, Bado tuna nafasi na ridhiki yetu ya mafanikio. Mmmiliki wa facebook ambaye sasa ni tajiri wala hakumaliza chuo,wapo matajir wengi ambao wala hawakusoma sana. Hivyo ukiona matokeo yako yamekuja vile ambavyo hukutajaria basi usikate tamaa jipange upya tafuta fulsa ipo wapi anza kuitendea haki. Elimu ya kidato cha sita inatosha kupanua mawazo yako katika kupamabana na maisha.

Usisahau ukitaka kupata taarifa ya matokeo ya kidato cha sita 2018 weka app kwenye simu yako bonyeza link hii https://play.google.com/store/apps/details?id=com.jamaa.online.com.app kama unatumia kompyuta jisajir dakika mbili tu kwa kubonyeza link hii www.jamaaonline.com/?ref=blogger  utapata habari kwa haraka zaidi kuhusiana na matokeo ya kidato cha sita 2918/2019