Mwaka mpya 2020 Tunawatakia mafanikio mema hapa jamiihuru.com


Endelea kutumia mtandao huu wa jamiihuru.com utajirike mwaka 2020

Kama ulijiunga mwaka 2019 na hujatengeneza hata sh moja ndani ya jamiihuru.com tunakupa pole nyingi. Ni uzembe mkubwa ulioufanya mwaka 2019. Kama zambi ulizotenda mwaka 2019 tukisema tuorodheshe basi zambi moja wapo kubwa sana ni kuiunga jamiihuru.com halafu ukaee tu kama mtazamaji balada ya kutumia fursa zilizomo ndani ya jamiihuru.com

Tunawashukuru wale waliofanya kazi kwa moyo kama kusajiri watu wapya kwenye mtandao huu wa jamiihuru.com na wamelipwa pesa zao kulingana na walivyofanya kazi, Mfano mtu aliyealika mtu mmoja kutoka facebook au whatsapp atakuwa ametengeza asilimia 80 ya mapato ambayo jamiihuru.com imepata kutoka kwa mtu huyo. Malipo haya yanaendelea mwaka 2020 hivyo kama hukujishughulisha na kualika watu wajiunge jamiihuru ulifanye kosa tena mwaka 2020.

Tunakutakia mwaka mwenye baraka na mafanikio mwaka mpya 2020