Fursa ya Ajira mtandaoni kuandika mada au makala kwenye blog au website

Comments · 1587 Views

Tunahitaji vijana wa kutosha kufanya kazi ya uandishi kwenye blog au website

FULSA YA KUFANYA KAZI YA KUANDIKA BLOG au WEBSITE

Habari, Tunahitaji vijana wa kufanya kazi za kuandika makala au mada kwenye blog. Kazi hii unaweza kuifanya muda wa ziada baada ya kazi zako za siku zote. Lazima uandike makala si chini ya tatu kwa wiki na ziwe hazijawekwa kwenye mtandao wowote

Unatakiwa kuwa na kompyuta au tablet au simu ya smartphone kama unaweza kuandika makala yenye maneno si chini ya 300 kwa kutumia simu yako

Unatakiwa kuchagua mada zifuatazo

Mfano wa mada au makala unazoweza kuandika ni kama hizi chagua mada moja wapo kati ya hizi, 1. Kufundisha kilimo, 2 Kufundisha ufugaji, 3. Kushauri maswala ya ndoa na mahusiano(mapenzi), 4. Kufundisha ujasirimali. 5. Kuweka miziki ya kudownload, 6. Kuandika hadithi au simulizi 7. habari za wasanii, Habari za michezo. au mada zozote ambazo unaziweza

Malipo kwa blog za kiswahili ni kwa idadi ya waliosoma blog unayoandika. Mfano blog ikisomwa mara laki moja unalipwa laki moja

Kwa blog za kuandika kwa lugha ya kingereza tu mfano wa topics ni hizi chagua mada moja kati ya hizi, 1.Adventure and Travel stories, 2.Tourism, 3.Business and entrepreneurship training, 4. Secondary school subjects, 5. Religion and preaches. Music downloads, au topic yoyote unayoipenda hata kama hapa haipo

Malipo kwa blog iliyoandikwa lugha ya kiingereza ni idadi ya waliosoma blog kwa mwezi X 5 sawa na pesa zako mfano blog ikisomwa mara laki moja unalipwa 500,000 kwa mwezi

Kutuma maombi ili upewe blog ndani ya siku mbili andika makala au mada moja yenye ukurasa mmoja (iwe original) ambayo haipo kwenye mtandao wowote ya mfano tuma kwenda: mkuublog@gmail.com Hakikisha unaweka mawasiliano yako mwisho mwa makala kama namba ya simu hasa ya whatsapp, ni muhimu na itatumika kukupa majibu ya kupewa blog au website ya kuanza kazi hii nzuri ya kufanya ukiwa nyumbani kwako.

 

Saidia kushare ujumbe huu kwa vijana whatsapp facebook tunahitaji vijana wengi kwakua kuna website zaidi ya 100 zikiwepo za nchi mbali mbali Bonyeza share hapo chini kisha itume whatsapp au facebook au mtandao wowote unaotumia. Pia unaweza kukopi na kuiweka kwenye mtandao wako habari hii 

Comments
------------- ANZA KUFANYA BIASHARA YA KUNUNUA BITCOIN NA KUUZA KWA FAIDA INGIA WHATSAPP BONYEZA HAPA