Tunatengeneza blog na app ambazo unaunganishwa na matangazo ya kukulipa


Anza kujiajiri kwa kumiliki blog au App au vyote viwili

Tunatengeneza blog nzuri na kukuunganisha na matangazo ya kukulipa maishani kwa idadi ya wanaosoma blog yako. Unapata blog kwa sh elfu 19 tu. Kumbuka hutalipia tena maishani. Bali utakuwa unaingiza pesa kwa njia ya matangazo yatakayowekwa kwenye blog yako

Blog ni nini?

Blog ni chombo cha habari ambacho unaweza kuweka picha, video, sauti au maandishi.

 

Unapataje wasomaji au wafuasi kwenye blog yako ili ulipwe?

Wasomaji wa blog wanakuja automaticaly kupitia google search au yahoo search au mtandao wowote wa kutafuta habari kama google. Ili blog yako ipate wasomaji unatakiwa kuandika habari ambazo watu wanazitafuta google. Pia unapata wasomaji wa blog kwa kuwatumia anwani ya blog yako kwenye mitandao uliyojiunga kama hapa jamaa online, facebook whatsapp na mitandao mingine kama hiyo. 

Ukihitaji kutengenezewa App,unachotakiwa ni kulipia elfu 25 tu utapata app iliyounganishwa na matangazo ya kukulipa vizuri.

Wasiliana nasi kwa kutuma sms za kawaida au whatsapp kwenye namba 0652428852 au koment hapa chini au tuma ujumbe inbox hapa jamiihuru utahudumiwa ndani ya masaa 24 yani siku moja tu. karibu. Kwa mafunzo zaidi kuhusu blog like page yangu ya blog pesa humu jamiihuru. Jisajiri sasa hapa jamiihuru bonyeza hapa

Jiunge na mtandao huu wa jamiihuru.com upate mafunzo jinsi ya kujiajiri kwa kumiliki blog au app au youtube mafunzo ni bure bonyeza hapa www.jamiihuru.com

12573 Views