Vigezo na masharti ya kufanya kazi ya kuandika blog au websites


Masharti haya ni muhimu kukufanya wewe uweze kulipwa

Ili uweze kulipwa kwa kufanya kazi ya kuandika makala kwenye blogs fuata mashartti haya.

Masharti ya kazi

  1. Unatakiwa kuwa na simu ya smartphone au kompyuta
  2. Unatakiwa kutumia lugha ya kingereza tu kwa blog za kingereza
  3. Unatakiwa kuandika makala si chini ya 3 kwa wiki
  4. Unatakiwa kushare blog unayoandika whatsapp, facebook, instagram ili watu wengi watembelee kusoma makala zako
  5. Unatakiwa kuandika makala mpya (original) bila kukopi sehemu yoyote mtandaoni.
  6. makala yako iwe na maneno yasiyopungua 300. au makala iyopungua nusu ukurasa wa Microsoft word.
  7. Kila makala lazima iwe na picha, na makala hiyo isiwe imewekwa kwenye mtandao wowote duniani
  8. Kutotimiza moja ya masharti hapo juu kutakufanya uondolewe kwenye blog lakini utalipwa pesa uliyopata mpaka siku unaondolewa

Malipo

Kwa mwandishi wa blog kwa lugha ya kiswahili malipo ni idadi ya wanaosoma blog gawanya kwa mbili mfano blog ikitembelewa mara laki moja unalipwa elfu 50

Kwa mwandishi wa blog kwa lugha ya kiingereza malipo ni idadi ya waliosoma blog yako sawa na pesa yako mfano blog ikitembelewa mara laki moja unalipwa laki moja

Kiasi cha chini kutumiwa ni ukifikisha sh elfu kumi hakuna kikomo cha malipo hata ukipata users milioni utalipwa.

435 Views