Jinsi ya kupanda hadhi ya uanachama hapa jamiihuru na faida zake


Pata hadhi ya V.I.P ( Mtu muhimu sana) hapa jamiihuru, Faida zake ni hizi

Asante kwa kuendea kutumia mtandao wa kijamii wa jamiihuru. Mtandao unaokulipa ukisajiri wanachama wapya.

Hapa unaelekezwa jinsi ya kupata hadhi ya mtu muhimu zaidi hapa jamaa online na uweze kupendelewa huduma ambazo huwezi kuzipata ukiwa mwanachama wa kawaida yaani free member.

Mtu yoyote akijisajiri hapa jamaa online anakuwa ni free member yaani mtu anayetumia mtandao huu bure bila kuchangia pesa. Hivyo mtu huyu hawezi kuitangaza post au habari yake aliyoiandika hapa jamiihuru ili iwafikie watu wote waliojiunga hapa jamiihuru na wasiojiunga.

Faida za kupanda hadhi au daraja ni hizi kama zilivyoelekezwa kwa kila daraja

  1. Hadhi ya hot member: Ukiwana hadhi hii utaweza kutangaza post mbili ambazo unatangaza biashara au huduma yoyote na page mbili unazomiliki ili zipate like nyingi utakazo.
  2. hadhi ya altimate au altima: Ukipata hadhi hii utaweza kutangaza post 25 unazoandika ili ziwafikie watu wowote kwa haraka pia utaweza kutangaza page zako 25 ili zote zijulikane na watu wote wanaotumia mtandao wa jamaa online. Hii ni nzuri kama unataka kutangaza huduma nyingi tofauti tofauti au kuwatangazia marafiki biashara zako au huduma zao. Urafiki ni kufaana na si kufanana
  3. Hadhi ya V.I.P: Hii ni hadhi ya mwisho kwa ukubwa. Ukiipata hii tunakuita mtu muhimu sana hapa jamiihuru. Faida utakazopata ni hizi; utaweza kutangaza post 300 na pages 300 Pia utapata namba ya simu ya kupiga mara utakapo kuwasilina na mtoa huduma hapa jamaa online muda wowote kuanzia saa mbili na nusu asubuhi mpaka saa mbili na nusu usiku siku zote. Utapata msaada wa haraka mara tu ukihitaji hapa jamaa online. Pia unaweza kubahatika kuwa sehemu ya uwekezaji na ukapata gawio mara tu jamii huru ikiwa ni kampuni siku chache zijazo. 

Unaweza kujiunga na hadhi yoyote muda huu kwa kubonyeza hii Hapa panda hadhi ya uanachama

Kama huna akaunti ya paypal na huwezi kulipia kwa njia ya mtandao wa intaneti andika hapa kwenye comment au tuma ujumbe wa siri kwangu mwandishi ili uweze kupewa njia ya kulipia kwa simu kama Mpesa au Tigo pesa, halopesa,Airtel money,safari com au westen union na utapandishwa hadhi siku hiyo hiyo. Edelea kufurahia vitu ambayo hujawahi kuvipata kwenye mitandao mingine ya kijamii.

 

801 Views