Jinsi ya kutumia namba tatu tofauti za WhatsApp kwa wakati mmoja

Comments · 405 Views

Weka WhatsApp tatu kwenye simu yako kwa namba tatu tofauti.

Jinsi ya kutumia namba tatu tofauti kwenye WhatsApp katika simu moja.

 

WhatsApp Ni mtandao maarufu sana nchini Tanzania na duniani kwote.

 

WhatsApp inaweza kutumika kuwasiliana na ndugu, familia, jamaa wa shule, jamaa wa chuo, wafanyakazi wa ofisi moja au kikundi fulani.

Kuwa na namba tatu tofauti zinazopatikana kwenye WhatsApp kwa simu moja Kuna faida hizi.

 

WhatsApp ya Kwanza utaifanya iwe ya kuwasiliana na ndugu au familia. Hii Ni WhatsApp ya kawaida uliyoizoea WhatsApp messenger.

 

Nyingine inakuwa ya kuwasiliana na wateja tu. Hii inaweza kutuma ujumbe kwa mteja hata ukiwa haupo na simu. Mfano umezima simu au huna bando/data WhatsApp itatuma ujumbe kwa mteja kuwa asubiri ukiingia online utamjibu au utamhudumia. Hii inaitwa WhatsApp business.

Ya tatu Ni Gbwhatsapp hii itakuwezesha kutuma links, kufoward links Kama za YouTube au link ya group la WhatsApp kwenye magroup mengine mengi uwezavyo bila kufungiwa namba yako ya WhatsApp. WhatsApp gb unaweza kuitumia kwa Uhuru kufanya chochote bila kuwa banned. Hutakuwa banned hata ukituma meseji au links kwenye group za WhatsApp zinazozuia kushare links.

 

Read more
Comments
Search
ADVERTISEMENT
------------------------- Asante kwa kutembelea mtandao huu

Tunaomba msada wako kushare mtandao huu