Jinsi ya kununua bitcoins mtandaoni kwa dakika kumi tu.

Comments · 199 Views

Sasa unaweza kununua bitcoins kwenye mtandao huu wa jamiihuru.com kwa haraka zaidi

Jinsi ya kununua bitcoins na kuuza bitcoins nchi yoyote kwa haraka zaidi

Bitcoin ni maarufu sana duniani kwote. Hata wewe unaweza lazimika kuwa na bitcoin siku moja ili uweze kununua kitu mtandaoni au kumtumia pesa ndugu kwa njia ya bitcoin

 

Sasa kuna mitandao mingi sana ya kununua bitcoins na kuuza bitcoins leo nakufundisha jinsi ya kununua bitcoins kwa watu waliopo jamiihuru.com na utajifunza jinsi ya kuwauzia bitcoins watu wa nchi yoyote duniani ambao wamejisajiri kwenye mtandao huu wa jamiihuru.com

Kujisajiri kwenye mtandao huu ni bure kabisa ili uweze kununua au kuuza bitcoins muda huu huu.

Namna ya kununua bitcoin kwenye mtandao wa jamiihuru.com

Fuata hatua hizi chache kununua bitcoins ndani ya dakika kumi tu

  1. Hakikisha umejisajiri www.jamiihuru.com
  2. Weka pesa kwenye wallet yako ukishakuwa umejisajiri utaona sehemu ya wallet au utabonyeza link hii https://www.jamiihuru.com/wallet/ 
  3. Tatu wasiliana na admin wa mtandao ambaye anatumia username ya "support"
  4. Mtumie wallet adress yako ya kupokelea bitcoins kisha lipia kiasi cha pesa unachotaka kununua bitcoins.

Hapo utakuwa umemaliza utatumiwa bitcoins zako kwenye wallet yako haraka iwezekanavyo.

Tumia mtandao wa jamiihuru.com kununua na kuuza bitcoins kwa usalama zaidi na haraka.

 

Unaweza kuwa umenunua bitcoins sasa unataka uziuze kwa bei ya juu zaidi. Hapa jamiihuru.com utapata wateja haraka na utaziuza haraka zaidi. Unachotakiwa kufanya ni kupost Tangazo kuwa una bitcoins unaziuza mteja atakufuata inbox au kwenye comment mtawasiliana na kukubaliana njia ya malipo kama ni wallet ya jamiihuru.com au mpesa au tigo pesa au njia yoyote ya malipo ambayo ni rahisi kwako kukufikia pesa.

Faida ya kutumia jamiihuru.com kununua bitcoins na kuuza bitcoins ni kwamba unaweza nunua bitcoins toka kwa mtu ambaye yupo nchi yoyote duniani ili mradi tu awe amejisajiri www.jamiihuru.com 

Bila kutumia jamiihuru.com kununua bitcoins na kuuziana bitcoin unaweza pata tabu namna ya kupoekea pesa toka kwa mtu aliyopo nchi za nje pia unaweza kupata tabu ya kutuma pesa kwa mtu ambaye yupo nchi za nje.

Ili uweze kufanya biashara hii lazima akaunti yako iwe verified yani utatuma picha ya kitambulisho chako ili akaunti yako iwe verified na utalipia sh elfu mbili tu kwa ajiri ya huduma ya kuverify account yako. Lengo kuu ni kutaka kuwa na watu wanaojulikana ambao wanaweza kuanya biashara ya kununua na kuuza bitcoins bila kutapeliana.

 

Comments
-------------

 

.............. ANZA KUFANYA BIASHARA YA KUNUNUA BITCOIN NA KUUZA KWA FAIDA INGIA WHATSAPP BONYEZA HAPA