Anza sasa kuwa wakala wa matangazo ya biashara mtandaoni ulipwe kila mwisho wa mwezi

Comments · 106 Views

Ajira pekee ya mtandaoni ambayo vijana wengi wanaweza kufanya nchini Tanzania

Anza sasa kuwa wakala wa matangazo ya biashara mtandaoni ulipwe kila mwisho wa mwezi

Umekuwa ukitumia simu yako kuchat, kuongea, kupokea pesa au kutuma na kuangalia mambo mbalimbali kwenye mitandao kama instagram, Lakiini bado simu yako ina kazi nyingine ambayo inaweza kukuingizia kipato yaani pesa kila mwisho wa mwezi.

 

Ni rahisi sana kuanza kuwa wakala wa kuonesha matangazo ya biashara za watu mitandaoni na kuanza kulipwa kila mwisho wa mwezi. Unachotakiwa ni kuwa ni simu ya smartphone au kompyuta. Simu yako iweze kuingia google na kufanya mambo mbalimbali kama kuangalia taarifa za mtandaoni, kusoma makala au habari.

 

Kisha unatakiwa kuwa na blog au App au youtube channel. Kama huwezi kufungua blog au App au youtube channel unafunguliwa kwa pesa ndogo sana blog ni sh elfu 10 tu, App ni sh elfu 25 tu na youtube channel ni sh elfu 15 tu. Wasiliana whatsapp 0652428852 hakikisha unatuma meseji kuwa unahitaji blog au App au youtube channel.

 

Malipo: Unalipwa pesa kwa kuonesha matangazo ya watu binafsi na makampuni kwa idadi ya waliosoma blog yako au App yako au video ya youtube. Mfano blog ikisomwa mara laki moja unalipwa sh laki moja Hivyo hivyo kwa app na youtube video.

Mafunzo ya jinsi ya kupata watu wengi wa kusoma blog au App au kutazama youtube chaneel yanatolewa bure kwenye mtandao huu wa www.jamiihuru.com Jisajiri bure upate mafunzo bure namna ya kutumia blog yako na namna ya kupata watu wa kusoma blog yako kila siku ili ulipwe hadi sh laki 5 kwa mwezi kwa kuonesha matangazo ya biashara za watu na makampuni

Mtumie rafiki yako makala hii au habari hii ili ajiajiri kupitia mtandao.

Kama una swali comment hapo chini utajibiwa

 

Comments
Meliki Meliki 5 months ago

nataka kuwa wakala. nafanyaje?

     
KELVIN JONAS 5 months ago

Nahitaji niwe wakala

     
-------------

 

.............. ANZA KUFANYA BIASHARA YA KUNUNUA BITCOIN NA KUUZA KWA FAIDA INGIA WHATSAPP BONYEZA HAPA