Hivi ndivyo watu wanavyotajirika mitandaoni

Comments · 284 Views

Wakati wewe unatumia mitandao kujifurahisha wenzio wanatengeneza mamilioni soma ujifunze share

Tumia mitandao kutengeneza pesa bado hujachelewa.

 

Asilimia kubwa ya vijana wanatumia mitandao kujifurahisha tu, ndugu yangu ondoka kwenye kundi hilo mitandaoni kuna pesa, tumia muda kijifunza utaniambia. Soma habari hii toka BBC jinsi mtoto wa miaka 10 alivyowajengea nyumba wazazi wake kwa kupata pesa toka mtandaoni

"

 

Akiwa na umri wa miaka 10 tu Emmanuella Samuel amewajengea wazazi wake nyumba

 

27 Novemba 2020 BBC Iliripoti habari hii.

 

"Akiwa na umri wa miaka 10 tu Emmanuella Samuel ametumia mapato yake aliyoyatengeneza kupitia mtandao wake wa You Tube kuwajengea wazazi wake nyumba.

Amekuwa nyota katika chaneli ya You Tube maarufu ya mchekeshaji Mark Angel, tangu alipokuwa na umri wa miaka mitano.

Akimshukuru mama yake Emmanulla amesema mama yake anafaa kupewa nyumba nyingi. " mwisho wa kunukuu.

 

Sasa huyo binti mungu alimpa kipaji cha kuigiza kazi kwako umiza kichwa waza wewe unaweza Fanya nini na kuvutia watu kukufuatilia unachotoa kwenye blog au app au YouTube channel au website au redio ya mtandaoni. Ukishakipata mtafute huyu mtalamu wa blog na App na YouTube channel, au website na Redio WhatsApp 0620827531 akutengenezee blog au app au website au redio au YouTube channel ili nawe uanze kutengeneza pesa online yaani mtandaoni. 

 

Ukiwa na swali uliza hapo chini kwenye comment 

Read more
Comments
Search
ADVERTISEMENT
------------------------- Asante kwa kutembelea mtandao huu

Tunaomba msada wako kushare mtandao huu