Jinsi ya kuweka kitufe cha share kwenye blog yako


Jifunze kuweka kitufe cha share kwenye blog yako ili watu wakusaidie kushare blog

Habari ndugu msomaji wa makala hii, Natumaini una blog na ungependa kila anayesoma blog yako akusaidie kushare kwenye mitandao ya kijamii ili watu wengi waijue blog yako. Basi endelea kusoma makala hii utajifunza jinsi ya kuweka share button kwenye blog yako.

Leo nakufundisha kuweka share button ya jamii huru. Ndio mtandao wa jamii huru unakuwa kwa kasi sana hasa nchi za africa mashariki. Hivyo ni muda mzuri kutumia fulsa ya kutangaza blog yako kwenye mtandao wa jamii huru kwa kuweka button ya "share to jamiihuru" Mtandao una watu zaidi ya milioni moja kwa sasa, ukiweka kitufe cha share to facebook utapata wasomaji wengi kwenye blog yako kutoka jamii huru

Ni rahisi sana kuweka kitufe hicho chukua codes hizi hapa chini kama zilivyo kisha weka kwenye blog yako sehemu ya add widget au add gadget halafu angalia sehemu ya maneno mekundu Futa kisha weka link ya blog yako hapo.

Copy codes hizi hapa chini sasa.

script
function OpenWindow(url, windowName) {
newwindow = window.open('http://www.jamiihuru.com/sharer?url=' + url, windowName, 'height=600,width=800');
if (window.focus) {
newwindow.focus();
}
return false;
}
/script
button onclick="OpenWindow('www.matokeoyamitihani.com/')"span style="background-color: cyan; color: red;"Share to JamiiHuru/span/button