MAHADHARA YA DAWA ZA KULEVYA MIONGONI MWA VIJANA WETU

Comments · 166 Views

Tuhamazishe na kuelemisha vijana wetu kuepuka utumiaji wa dawa za kulevya kwa maana Yana mahadhara mengi katika maisha na vizazi vijazo
Dawa za kulevya nikama utumiaji wa pombe ,uvutaji zingara,ufutaji bangi na mengine nyingi.Tuungane na mashirika mbalimbali duniani wanao toa elimu kuh

UHAMAZISHAJI NA ELIMU KWA VIJANA KUEPUKA UTUMIAJI DAWA ZA KULEVYA

Dawa za kulevya miongoni mwa vijana karibia dunia nzima imekuwa janga sugu kwa maana idadi ya utumizi unaongezeka kila mwaka.Ni tabia mbaya Sana kwa maana inadhuru afya.Dawa za kulevya ni Kama unywaji bombe kupita kiasi,uvutaji bangi na uvutaji zingara.

Swala hili imekita mizizi miongoni mwa vijana kwani mabwenyenye wengi wanaohusika na biashara haramu ya kuuza mihadharati miongoni mwa vijana.ukosefu wa ajira ,umaskini na utavo wa nidhamu miongoni mwa vijana na peer pressure imechangia Sana utumiaji mihadharati miongoni mwa vijana.

Ningependa kuwadhahadarisha vijana waepuke na na utumiaji mihadharati kwa maana yana mahadhara mengi sana.

La kuanza Yana sababisha madhara katika afya ,inasababisha mtu kufungwa jela kwa maana mtu atakapo tumia mihadharati ataanza kuwa magaidi na kujiingiza katika Mambo ya uwizi ,utovu wa nidhamu na kuacha shule.

Tafadhali vijana wenzangu turudiani mungu na tutie bidii Sana ili nasi tuwe ujenzi wa taifa katika vizazi vijazo.Twashukuru mashirika mbalimbali duniani wanao toa elimu kuhusiana na madhara ya utumiaji mihadharati miongoni mwa vijana na kujenga rehabilitation centers kwa aji ya kufunza vijana wajiepuke na mihadharati.

Tuungane pamoja tuendeleze uhamasisho wa kutotumia mihadharati.Vijana sisi ndio tuoumia Sana kwa maana tukizidi kutumiahadharati tutakuwa na maisha mbaya bila familia na tutakuwa na kielekeza mbaya katika jamii yetu.Tujiepuke Sana na Mambo hayo mabaya.

Yafaa Kama jamii tuwe wakali kwa wanaojiusisha na huu utapeli wa kuunza dawa za kulevya ya faa tuwastaki wote wanao endeleza biashara potovu na na wanafaa kuchukuliwa mko wa Sheria na kitengo husika ya kiserikali.

Tuungane pamoja tumalize mihadharati miongoni mwa vijana.Na tunaomba serikali watuunge mkono tumalize swala hili .vijana tuwe macho tubadili mienendo yetu na kumtanguliza mungu kwa chochote katika maisha yetu na tutie bidii Sana.asante.

Comments
support 16 w

Post nzuri

  1