NONDO ZA JASIRI RUGE MUTAHABA.

Comments · 261 Views

Makala hii itajikita zaidi katika kuangalia nondo za jasiri Dr. RUGE MUTAHABA.
Mtazamo wake juu ya mafanikio na maendeleo, moyo wa kusaidia na kushika watanzania katika nyanja mbalimbali.
Misimamo na misingi imara katika utendaji wa kazi zake.

Ukisema hata kwa kunong'ona jina la Ruge Mutahaba mpka mishipa midogo ipelekayo tarifaa katika unyayo wa mguu husisimka kwa jinsi ambavyo jina hili ni marufu Sana na linajulikana kwa utashi, ucheshi, upole na nidhamu kubwa na falsafa za mzee wetu Dr. Ruge Mutahaba katika kushika mkono na kuwaendeleza waranzania mbalimbali katika nyanja mbalimbali hasa kuwatoa watu kiuchumi na kumpa mtu fursa ya kuonekana kwa watanzania. Watanzania wote ni mashahidi katika kumshuhudua mzee wetu akiwafikisha watu mbalimbali sehem wasizo tarajia, wasanii, wandishi, na masikini mbalimbali wameshikwa mkono na mzee wetu Ruge bila ya kujali rangi, kabila, Wala jinsi katika hili alishinda mengi sana.

Mtazamo na msimamo wa mzee wetu ulikua nikatika kushika watanzania mkono ili kuwafikisha mbali si tu kimaisha lakini pia nchi yetu, kusema hivi inanikumbusha mbali sana wakati kuta za redio ya watu clouds fm zikisimamishwa kwa malengo makubwa ya kuwafikia watu kwa urahisi, Happ ndipo mzee wetu nilipo muona Kama mtu wa tofauti tena asie na maku hata kidgo, huku akipambna kuwashika wasanii mbalimbali katka chuo THT ili kuwaleta kwa uma. Hii ilimpa kujipvanua zaidi kwasab hkuna alikuwa anajua nn msingi na misimamo ya mzee wetu juu ya vijana wale wakike kwa waume. Hakika wewe ni jasiri usue sahaulika katika akili za watanzania upumzike kwa amani.

Shuhuda mbalimbali za watu zimenifanya leo, kuwandikia makala hii yenye kuonesha japo kwa ufupi ipi ilikuwa misimamo mikubwa ta mzee wetu Ruge Mutahaba alie tutoka hivi karibuni akiacha mbegu nyingi Sana katika uso huu wa dunia.

Nikianza na mtangazaji mkubwa wa kipindi Cha njia panda, na alie kuwa produza wa kipindi hiko Dr. Aizack Marrlow, anatoa shuhuda nyingi sana kumhusu mzee wetu Ruge Mutahaba hasa katika misingi yake ya utendaji kazi na jinsi anavyotaka mtu yeyote kufanya bila kusitasita. Dr. Aizack anasema, " kitu kikubwa nacho mkumbuka mzee Ruge, Ni wakati ambapo nilikuwa bado Mimi ni produza wa kipindi Cha njia panda ambapo alikuwa akinisisitiza kufanya kipindi hiki kukiendesha binafsi lakini nilikuwa nikiogopa hii ilitokana kwasabu nilikuwa na mtu alie kuwa akiwajibika kama muendeshaji lakini mm nikiwa Kama produza, anasema kilichotokea nikuwa alisusiwa kipindi akiwa mwenyew hivo akalazimika kuendesha siku hyo akiwa mwenyew na huo ukawa mwanzo mzuri wa yy kuaminiwa na boss Ruge na hivo kupewa kipindi hiko mpka leo Dr. Aizack ndiye mwongozaji wa kipindi hiki Cha njia panda kinacho ruka kila siku ya jumapili saa nane m Hana mpka SAA kumi jioni. Hakika ametengeneza vijana hazina katika ardhi ya Tanzania pumzika kwa amani mzee wetu.

Msanii wa kizazi kipya mwenye kufanya miondoko ya rap, maarufu Kama Nick wa pili, pia ni mmoja kati ya watu wenye ushuhuda juu ya mzee wetu Ruge Mutahaba. Yeye ansema, " kwa upande wangu namkumbuka boss Ruge kwa maneno yake kuntu alio sema tengeneza jina ambalo katika Hilo litakupatia pesa daima, Nick anasema aliambiwa maneno hya bada ya kwenda kumuomba pesa mzee Ruge, hebu tafakari unakwenda kuomba pesa wakati unashida hakafu unambiwa naneno kama haya, Nick anasema kipindi kile nili chukia Sana nikaghafirika Sana lakini leo leo hii nakula kwa jina langu". Hakika misimamo na falsafa za mzee wetu zitaishi vizazi hadi vizazi.

Maneno yako mazito yenye kuishi hakika yatatukaa katika mioyo yetu watanzania, falsafa zako zitakua miongozo katika kazi zetu, misimamo yako Ni taa katika kutuvusha katika changamoto nyingi Sana. Hakika utaishi daima mzee wetu, pumzika kwa amani, Amen.

Read more
Comments
Search
ADVERTISEMENT
------------------------- Asante kwa kutembelea mtandao huu

Tunaomba msada wako kushare mtandao huu