Tshara Mwana.

Comments · 146 Views

Makala hii itamtazamia mwana muziki na malikia wa muziki wa rhumba kutoka nchini congo nchi kubwa kusini mwa afrika, mwanadada mashuhuri alie kuwa mashuhuri kwa kibao chake mashuhuri Cha Engatitudye kilicho muweka jera kwa muda kadha.

Katika muziki wa rhumba wapenzi na wafuatiliaji wake hawachoki kusikiliza vibao Moto Moto vya mwanadada Tshara Mwana, malikia marufu wa muziki wa rhumba nchini Congo na duniani kote. Mwanabibi huyu mwenye umri wa miaka 63 hivi sasa ameingia katka sakata kubwa la kukamatwa na serikali ya Raisi Felix Tchikesed wa Congo ambae alimkamata bada ya kutoa kibao chake Cha Engatitudye, chenye Mana ya mwizi wa fadhira, katika wimbo huu Tshara anaelezea jinsi ambavyo mtu alie fanyiwa wema akiwa hana kitu na bada ya kupata kitu anashindwa kurudisha wema kwa alie mfadhiri hivo anasema mwizi wa fadhira ( Engatitudye). Nyimbo hi inamuweka matatani bada ya serikali ya Tchseked kutafsiri Kama uchochezi wa machafuko ya kisiasa nchini humo.

Mwana mama huyu mwenye umri wa miaka 63  anakamatwa na  kusondekwa rokapu kwa makosa ya kutoa kibao chake hicho cha mwizi wa fadhira, ambapo mbunge wake ana kitafsri Kama kibao chenye kuchochea vita baina ya pande mbili za kisiasa n hini humo zisizo elewana yani upande wa raisi wa Sasa Felix Tchseked na ule wa raisi aliepita Joseph Kabila kulingana na maudhui ya kibao hiko. Mwana Bibi huyu kwa Sasa mwenye umri wa miaka 63 alikamatwa bila ya kujali Hali yake ya afya ambayo ilikuwa imedhoofika Sana, lakini hawakuwa na huruma naye.

Mwana Bibi huyu alikuja kupta nafuu bada ya wanawake na waume kuandamana ili aweze kutolewa na Happ ndipo alipopata nafasi ya kuachwa huru na hivo kutoka rokapu na hapa akapata nafasi ya kizungumzia na wandishi wa habari. Mazungumzo yake yalikuwa hivi, " Mimi sikuandika nyimbo hi kwa lengo la kusababisha uchochezi wa kisiasa kati ya pande mbili za serikali, nimeandika wimbo huu mwaka 2013 na nikashindwa kuutoa kwasabu ya bajeti hivo nimelazimika kutoa saizi na nimewazungumzia watu wanao nizunguka licha ya kuwasaidoa Sana lakini wamekuwa si watu wakulipa fadhira kabisa na wamekuwa wabaya zangu kila kukicha, wamekuwa wezi wa fadhira", alisema Tshara Mwana.

Hii si Mara ya Kwanza kwa mwana Bibi huyu kukamatwa kwasababu ya vibao vyake. Mwaka 1973, ilimbidi kukimbilia Zaire bada ya kutoa kibao chake Cha Tshikombo kilichofanya  raisi wa enzi hizo Mobutu sese seko kuku ngwendu wa Zabangu kumtaka akamatwe, sababu kubwa ilikuwa Ni kwasabu kila alivokuws akipafom wimbo huo alikuwa akimwaga radhi jukwaani kwa kuonesha nguo zake za ndani, kitendo hicho kilitaftsiriwa Kama uvunjwaji wa mila na desturi za mwafrika hivo kumsababisha kukimbia kwenda nchi jirani ya Zaire. Na hivo kazi zake za kimuziki kuzifanyia huko akiwa mafichoni mpka pale Mobutu alipotoka madarakani ndipo aliporudi enzi ya utawala wa Ndgu Kabila.

Bada ya kufanikiwa kurudi enzi za raisi Kabila alipewa ubunge wa kuteuliwa na raisi huyo Kabila na kwa wakati wote akawa karibu Sana na raisi kabila na serikali yake. Hivo kujikuta akisimama Kwanza kufanya kazi ya muziki na hivo karudi na kibao chake Cha mwizi wa fadhira ambacho kimemuweka matatani na kupelekea kibao hiko kufungiwa na yeye kukaa ndani kwa muda kadhaa.

Mwana mama huyu anasifiwa kwa vinao vyake vingi kabambe vilivyo mpa umarufu kama, karibu yangu, dezo dezo, Tshikombo, na nyingine nyingi. Hakika huyu Ni malikia wa muziki wa rhumba na muziki wake utaishi na kufatilia na vizazi vyote.

Tshara Mwana jina mashuhuri masikioni mwa watu wengi duniani lilofanya mengi Sasa Ni mzee wa miaka 63 na bado anasikika katika ngoma za masiko yetu kila siku. Hakika muziki utaishi na kuishi zaidi.

Comments