UKIMWI UNAUWA

Comments · 154 Views

Ukimwi Kama janga la kimataifa
Ukimwi umekitiri Sana miongoni mwa vijana
Jinsi ya kuepuka ugonjwa wa ukimwi
Kinga ya kuambukizwa ukimwi
Mahadhara ya ugonjwa wa ukimwi duniani
Dawa za kumeza ili ipunguze makali ya ukimwi
Msaada kutoka mataifa mbalimbali dhidi ya kusa

  • Ukimwi ni ugonjwa sugu ambayo haina tiba na imekuwa janga kubwa Sana duniani.ilianza apo miaka nyingi yaliopita na imesababisha mahafa Sana kote duniani.

Ukimwi inaambukizwa na mtu aliyeatirika kwa mwenzake haswa kupitia njia za ngono.pia Kuna njia mbalimbali duniani ya kupata ugonjwa huu sugu.kutumia sindano iliyotumika,wembe iyotumiwa na mtu aliye adhirika waweza kuambukizana.kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi ugonjwa huu umeenea Sana miongoni mwa vijana kwani wanafanya mapenzi kiholela bila kujali na uraibu ulioko miongoni mwa vijana hao.

Kuna Mambo mengine yanayofanywa na vijana kueneza ugonjwa huu miongoni mwao.kwanza usherati,ulevi wa kupindukiwa , mihadharati miongoni mwa mengine yamesababisha Sana kuenea kwa ugonjwa huu miongoni mwa vijana.

Twaomba Sana wananchi mbalimbali duniani watumie njia za kukinga ugonjwa huu ili wapunguze kuenea kwa ugonjwa huu.kuna njia mbalimbali duniani ya kukinga ugonjwa huu lakini Kuna njia moja muhimu Sana ambao ni kutumia mipira wa kondomu.

Kondomu ni njia mwafaka wa kujikinga dhidi ya ugonjwa huu.Inafaa mtu atumia kila wakati anapofanya ngono na mpenzi wake asiye jua Hali yake.Ya faa mtu atumie kwa njia nzuri.

Halikadhalika,njia zingine za kujikinga dhidi ya ugonjwa huu ni kuacha usherati,kujua Hali yako kila wakati.Naimiza watu wote duniani kupitia viomba vya habari na mtandao wa kijamii kueneza ujumbe huu.

Walioatirika wanafaa kutumia dawa za kupunguza makali ya ugonjwa huu sugu kwa njia mwafaka.Nahimiza kila mmoja achukue jukumu lake ili alinde Hali yake kwa ajili ya ugonjwa huu sugu.

Ugonjwa huu sugu umesababisha maafa Sana miongoni mwa wananchi duniani.Umesababisha kudhorora kwa uchumi wa nchi, umesababisha uyatima miongoni mwa watoto wengi duniani.

Naomba Sana wananchi wenzangu tuchukue dhahadari Sana tuepuke ugonjwa huu sugu.Vijana sisi ni kielelezo Cha vizazi vijazo naomba tuwe waangalifu Sana ukimwi upo.

Chukua dhahadari dhidi ya ugonjwa huu sugu.Tuchukue fursa na jukumu letu la kibinfsi ili tulinde afya yetu ile tusijipate katika shida hila la ugonjwa.

Vijana sisi ndio tuko katika hali ya kupata ugonjwa huu kwa urahisi tuchukue tahadhari Sana.Bado tuko na umbali wa kuendeleza maisha yetu ya kizazi ijayo.

CHUKUA TAHADHARI##?

Comments