Magroup ya whatsapp wilaya ya kibondo Join

Comments · 124 Views

Join whatsapp group links za kibondo

Magroup ya whatsapp wilaya ya kibondo Join 

Karibu kwenye group la whatsapp la wilaya ya Kibondo, kutana na watu tunaoishi Kibondo ili tuweze kufahamiana na kubadilishana mawazo, Pia unaweza kutangaza biashara yako unayoifanya ndani ya wilaya ya Kibondo. Kutangaza biashara mtaani ni gharama sana kutangaza biashara kwenye redio au Tv ndo gharama zaidi lakini ukijiunga kwenye group hili unaweza tangaza biashara yako na itawafikia watu wengi ndani ya wilaya ya Kibondo. Mfano unatoa huduma za kupamba maharusi au una huduma ya kuuza madera ukiwatangazi watu kwenye group la whatsapp la Kibondo utawapata wengi na hao wengi watawasimulia wenzao kuhusu huduma yako unayotoa,

https://chat.whatsapp.com/Dy0XpuhEGYx5thWp5YyQXQ

Je wewe ni dalali? Kama upo Kibondo hii na huna shughuli nyingine nakupa wazo hili la utajiri anzisha kijiwe chini ya Mti andika bango “Dalali wa viwanja, nyumba, mashamba anapatikana hapa” weka namba yako ya whatsapp au namba yoyote ya kupigiwa simu. Kisha jiunge kwenye group letu la whatsapp la wilaya ya Kibondo anza kupost nyumba zinazopangishwa na mtaa husika hakika utatengeneza mamilioni kwa mwaka weka tozo dogo tu kwakua watu wanatafuta nyumba kila kukicha mfano chumba cha elfu 25 wewe chukua sh elfu 10 tu kama tozo la kumtafutia chumba mteja. Tengeneza network na wenye nyumba kila siku uwe na vyumba angalau vitatu ambavyo vipo wazi mitaani kaa kijiweni subiri wateja lakini kuwa dadali mwaminifu na mstaarabu.

 

Vijana mliomaliza vyuo mnatafuta ajira wazo hilo la biashara lifanyieni kazi, Huhitaji hata sh mia kama mtaji unachotakiwa ni kuwa na simu tu ya mawasiliano na wateja wako. Wilaya nyingi hakuna huduma za madalali wapangaji wanajitafutia nyumba mguu kwa mguu wanahangaika sana.

Unahitaji kuolewa na mwanaume anayeishi Kibondo basi jiunge kwenye hili group Unahitaji mwanamke aliyopo Kibondo Muda huu jiunge kwenye hili group lakini kumbuka michepuko sio  dili baki njia kuu Pia Ukimwi na magonjwa ya zinaa yapo usije potea duniani kabla ya Mungu kukupangia kupotea.

Join group la whatsapp la Kibondo nufaike na mengi lakini uwe kweli unaishi Kibondo sio unajoin kwa lengo la kupost youtube channel yako na haupo Kibondo utatolewa fasta.

Share na marafiki wanaoishi Kibondo ili nao wapate huduma hii nzuri ndani ya Kibondo, Kama wewe upo wilaya nyingine na unarafiki anaishi Kibondo mtumie post hii bonyeza share hapo juu itume kwa facebook  au twitter. Unaweza kumwambia Jiunge Jamiihuru.com kuna group la wilaya la watu wa Kibondo tu.

Kama upo Kibondo na una uwezo wa kufungua group la whatsapp basi fungua kisha lipost kwenye comment hapo chini upate members 256 toka Kibondo.

Unweza pia kujua habari zote kuhusu mambo kama haya hapa chini

 

kibondo dc

kata za wilaya ya kibondo

kibondo refugee camp

halmashauri ya wilaya ya kibondo

nida kibondo

kibondo district map

kibondo district council

kibondo district population

nafasi za kazi kibondo

Wachumba waliopo kibondo

Fursa zilizopo Kibondo

Mkuu wa wilaya Kibondo

mkurugenzi wa halamshauri kibondo

shuele za sekondari kibondo

Shule za msingi kibondo

shule za binafsi/private kibondo

ajira kibondo

Pia Jamiihuru.com inalipa watu wanaowasajiri wenzao mfano ukisajiri mtu mmoja unalipwa sh elfu 1. Kwanini usifanye kazi hii ya kusajiri watu ulipwe ukiwa unafanya kazi zako nyingine ulizoajiriwa au ulizojiajiri. Jisajiri sasa bore kuanza kazi hii bonyeza www.jamiihuru.com karibu tutengeneze pesa pamoja ndani ya www.jamiihuru.com huku tukiendelea kupata huduma mbali mbali za kutuunganisha na watu wa Kibondo kwa kujiung a kwenye group la whatsapp la Kibondo.

Comments