NAMNA NZURI YA KUPUNGUZA UZITO WA MWILI.

Comments · 130 Views

Njia nzuri ya kupunguza Uzito wa Mwili wako, bila kufanya Diet maalumu au Mazoezi.

NAMNA NZURI YA KUPUNGUZA UZITO WA MWILI WAKO.

 

    Ziko njia nyingi tofati ambazo unaweza kuzifanya ili kupunguza uzito wa Mwili ikiwemo kutumia Virutubisho tiba (Food Supliments) ambavyo husaidia kuyeyusha mafuta mabaya mwilini (Correstol).

    Leo nitakuonyesha njia ambazo unaweza kuzitumia kupunguza uzito bila kufanya diet maalumu au mazoezi magumu.

 

    Zifuatazo ni njia tofautitofauti unazoweza kutumia kupunguza uzito wa Mwili wako bila kufanya diet au mazoezi:-

  • Kutafuna Chakula vizuri na kula taratibu. 

Kutafuna Chakula taratibu husaidia umeng'aji mzuri wa chakula kabla ya kukiruhusu kuingia tumboni. Na hii husaidia ubongo kutambua vizuri kama umeshiba au la.

Tafiti zinaonyesha kuwa, ulaji wa chakula kwa haraka haraka husababisha uwezekano mkubwa wa kuongezeka kwa uzito wa mwili wako.

Hivyo basi inapaswa kujijengea tabia ya kula chakula taratibu ili kuzuia kuongezeka uzito ulio pitiliza.

  • Kula zadi vyakula vyenye nyuzi nyuzi(Fibre)

Vyakula vyenye nyuzi nyuzi mfano Maembe, Mimea jamii ya mikunde hufanya mmeng'enyo wa chakula kufanyika taratibu, hivyo husaidia Virutubisho vinavyohitajika mwilini kuchukuliwa kwa usahihi, pia hufanya chakula kukaa tumboni kwa muda mrefu, na utahisi kushiba kwa muda mrefu, hivyo kupunguza hamu ya kula kula ovyo.

  • Pia pendelea sana kula vyakula vya Protini.

Vyakula vya Protini mfano, Nyama, Samaki, mara nyingi huchukua muda mrefu zaidi kumeng'enywa, hivyo hukaa zaidi tumboni.

Protini pia huingilia kazi za Homoni zinazohusika kumudu hisia ya njaa na hisia ya kushiba.

Pia Protini hujenga misuli mwilini, na misuli husaidia Sana uyeyushaji wa mafuta mwilini.

  • Unywaji wa maji mara kwa Mara.

Unywaji wa maji wa dakika 30 kabla au baada ya kula chakula husaidia kupunguza njaa, hivyo hufanya mwili kuhitaji chakula kidogo tu ili kushiba. Na hii ni njia nzuri ya kuzuia kula mara kwa mara.

  • Punguza kunywa vinywaji vyenye Sukari nyingi.

Sukari inapozidi mwilini hufanya Homoni zinazofanya kazi ya kuyeyusha mafuta mwilini kupungua. Hivyo unywaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi, husababisha upungufu wa homini zinazohusika na uyeyushaji wa mafuta mwilini.

Si lazima sana kufuata Mfumo fulani wa ulaji ili kupunguza uzito wa mwili wako. Lakini mabadiliko madogo katika tabia ya ulaji wako, yanaweza kukuweka katika mwanzo mzuri katika swala la kupunguza uzito.

Hivyo unaweza kuchagua njia chache au moja kati ya hizo ukaanza nayo na kuongeza taratibu hadi mwili uzoee.

Pia Kama una uzito mkubwa Sasa, na unahitaji kuupunguza kwa haraka, unaweza kutumia hichi Kirutubisho lishe, (Food Supliments) ambayo ni the best Duniani, na isiyo na kemikali, ili kupunguza uzito wako. Na itakupa matokeo ya haraka na salama kabisa.

 

Gusa hii link hapa chini ili kupata maelezo zaidi kuhusu hichi Kirutubisho Lishe na jinsi ya kuipata;

https://4710faqmtdpfohdaqitmk28ze9.hop.clickbank.net/

 

Read more
Comments
Search
ADVERTISEMENT
------------------------- Asante kwa kutembelea mtandao huu

Tunaomba msada wako kushare mtandao huu