Maswali ya mtihani wa Taifa 2021 kidato cha NNE

Comments · 28 Views

Haya ndiyo maswali yatakayoulizwa kwenye mtihani wa taifa kidato cha NNE 2021?

Maswali yanayoweza kuulizwa kwenye mtihani wa kidato cha nne 2021 jadili hapa

 

Kwanza kabisa jisajiri kwenye mtandao huu wa www.jamiihuru.com ili uweze kujifunza kwa kujadili maswali ya mtihani wa Taifa wa kidato cha NNE 2021 

 

Watu wanashare mawazo kuhusiana na kujiandaa vema kwa mtihani wa kidato cha NNE mwaka 2021

 

Msikilize sana mwalimu wako anachokufundisha na kukushauri hapo shuleni unaposoma, tumia muda wako wa ziada kujifunza zaidi, tumia mitandao kama hii kujifunza usipoteze muda mitandaoni utafeli rafiki si unajua umuhimu wa elimu?

 

Share swali lolote unalohisi linaweza kutoka kwenye mtihani wa taifa kidato cha nne 2021  andika swali hilo hapo chini watu wakupe majibu. Mtandao huu unawalimu wamejiunga wanatoa majibu ya swali lako

Comments