HABARI NJEMA KWA VIJANA FULSA CHELLENGE MRADI MPYA MTANDAONI


"TUNAMUENZI RUGE MUTAHABA" FURSA CHALLENGE IPO KWA AJIRI YAKO

"FURSA CHALLENGE" Ni mradi uliobuniwa na Mtanzania aliyeguswa sana na Mambo mazuri aliyofanya Marehemu RUGE MUTAHABA kaka wa Taifa la Tanzania. 

Fursa challenge ni shindano la kubuni mawazo ya biashara ambazo zinaweza kufanywa nchini Tanzania na mshindi anazawadiwa mtaji wa biashara na kupewa ushauri wa kibiashara muda wote wa uedeshaji biashara hiyo.

 

"FURSA CHALLENGE" ni shindano la ubunifu wa mawazo bora ya biashara. Kila mwezi zawadi kutolewa ndani ya jamiihuru.com kwa mshindi atakaye buni wazo bora zaidi ya mengine

"Fursa challenge " Hii ni kwa vijana wa Tanzania tu. Tumezindua rasmi shindano la wazo bora la biashara ndani ya jamiihuru.com Tunaanza na Tanzania.

Andika mawazo 3 ya biashara ambayo unaweza kufanya Tanzania kwa mtaji wa shilingi elfu 20 tu na baada ya mwaka ukawa na mtaji wa milioni moja kwenye biashara hiyo. Eleza vizuri utakavyofanya biashara hiyo mapka ifikie mtaji wa milioni moja.

Mshiriki ambae ataleta wazo bora kuliko yote atazawadiwa 20,000 Tsh mwisho wa mwezi husika yaani ndani ya siku therathini.

Vigezo na masharti ya ushindi

1. Wazo lako lipate likes si chini ya 100 ndani ya mwezi mmoja  kupata likes nyingi zaidi ya wengine ndio kupata ushindi wa kuzawadiwa elfu 20 ya mtaji.

2. Mshindi lazima atoe ripoti ndani ya mtandao wa jamiihuru.com kila mwezi akitueleza maendeleo ya biashara yake.

3. Mshindi atapokea pesa zake kwa njia ya mitandao ya simu mfano mpesa

4. Mshiriki awe raia wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18.

5. Mawazo yote yaandika sehemu ya blog boyeza link hii https://www.jamiihuru.com/create-blog/

"Kazi kwako jamiihuru.com inalipa"

Imeandiliwa na meneja wa jamiihuru.com