Jinsi ya kupata wafadhili mtandaoni facebook whatsapp instagram twitter

Comments · 16 Views

Fanya mambo haya upate wafadhili toka Facebook Twitter whatsapp instagram na mitandao mingine

Jinsi ya kupata wafadhili mtandaoni facebook whatsapp instagram twitter

Naomba msaada wa pesa 

Jinsi ya kupata sponsorship 

Jinsi ya kuomba msaada

Mfano wa barua ya kuomba ufadhili Wafadhili wa elimu tanzania

Wafadhili mbalimbali 

Jinsi ya kusoma qt online 

Jinsi ya kuendesha ngo

 

Unajua kuna wazungu wanapesa huko marekani ulayalakini hawana fursa za kuwekeza kama huku kwetu. Sasa ukitaka kupata wafadhili haraka wakusaidie kwenye mradi wako au biashara yako soma makala hii vizuri na ifanyie kazi.

kwanza kabisa jisajiri kwenye mtandao huu ili uweze kuomba msaada wa kuchangiwa kiasi chochote cha pesa kwenye mtandao huu bonyeza www.jamiihuru.com/regisater au download App kwa kubonyeza link hii http://bit.do/JAMIIHURUAPP

Kupata wafadhili mtandaoni ni rahisi sana unatakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa lengo la kutafuta wafadhili na sio kuchat mambo yasiyo ya maana.

Fanya mambo haya kupata wafadhili mtandaoni

  1. Andika wasifu mzuri kwenye account zako za facebook instagram twitter whatsapp ukijieleza wewe ni nani upo wapi una una ujuzi gani au kipaji gani
  2. Post zako nyingi ziwe possitive na sio negative yaani andika post zenye mawazo chanya kila siku
  3. Andika posts za kujadili maendelea na ziwe na imani ya Dini yoyote yoyote yaani uwe mtu wa kumcha Mungu Hata mtu yoyote akipitia account yako ya facebook aone wewe una mjua Mungu.
  4. Anza kupost mawazo ya biashara huku ukiwaomba watu waungane na wewe kwenye mawazo hayo ya biashara mfano andika natamani sana kuanzisha baishara ya kununua mazao vijijini na kuuza mijini chambua vizuri jinsi unavyoweza kuifanya biashara hiyo na faida utakayopata kama ukiifanya biashara hiyo leo.
  5. Tumia Lugha ya kingereza kwakua wafadhili walio wengi ni wazungu na hawajui kiswahili.
  6. Jiunge magroup ya wazungu mfano magroup ya baishara ya marekani ulaya kisha uwe unapost mawazo yako humo kwenye group usipost moja kwa moja kuwa unamba wafadhili kwenye group bali subiri watu wanaovutiwa na post zako wakutafute inbox ndipo huko waambie unawaomba wawe wafadhili au tumia lugha ya tushirikiane kwenye biashara hii.
  7. Kuwa mwaminifu ukitumiwa pesa fanya kilemlichokubaliana

Hayo ndio mambo ya kufanya ili ueweze kupata wafadhili mtandaoni

1.

Read more
Comments
Search
ADVERTISEMENT
------------------------- Asante kwa kutembelea mtandao huu

Tunaomba msada wako kushare mtandao huu