JAMII HURU INAHITAJI MAWAKALA KILA MTAA TANZANIA


ANZA SASA KUWA AFISA MTAAA WA JAMII HURU ULIPWE DOLA 100 KILA MWEZI

JAMII HURU INAHITAJI MAWAKALA KILA MTAA TANZANIA
MALIPO.

WAKALA ATALIPWA DOLA 100 KILA MWEZI SAWA NA LAKI MBILI NA ELFU 30 HIVI. PESA HIZI ZINAKUWA KWENYE MFUMO WA JAMII HURU DOLA HIVYO ATATAKIWA KUZIBADILI MTAANI KWAKE KUWA SH YA KITANZANIA

KAZI ZA WAKALA

  1. KUSAIDIA WANA MTAA WAKE KUWEKA MATANGAZO KWENYE MTANDAO HUU WA JAMII HURU
  2. KUWAUNGANISHA WATU AMBAO ANAWASILIANA NAO KWENYE MITANDAO KAMA FACEBOOK,TWITTER,WHATSAPP WAIUNGE NA MTANDAO WA JAMII HURU
  3. KURIPOTI BEI YA VYAKULA NA MAZAO MBALI MBALI KWENYE MTAA WAKE KILA WIKI
  4. KUELIMISHA WANAMTAA WOTE AMBAO ANAWASILIANA NAO WATUMIE MTANDAO WA JAMII HURU ILI KUJENGA JAMII YENYE KIPATO CHA KUTOSHA
  5. ATAKUWA NI AFISA MTAA WA JAMII HURU HIVYO ATAFANYA KAZI ZOTE ZA KIOFISI KAMA AFISA WA JAMII HURU MTAANI KWAKWE.
  6. ATAKUWA TAYARI KUTEMBELEWA NA UONGOZI WA JAMII HURU PINDI WAKITAKA KUJA KUTOA ELIMU MTAANI KWAKE.

JINSI YA KUANZA KAZI HII, ANDIKA POST MOJA UKIELEZEA MAHALI ULIPO KUANZIA MKOA MPAKA MTAA UNAOISHI. WEKA NAMBA ZAKO ZA WHATSAPP ILI UWEZE KUUNGANISHWA NA GROUP LA MAAFISA MITAAA JAMII HURU. UONGOZI WA JAMII HURU UTAPITIA TAARIFA ZAKO NA KUKUPA MAJIBU KAMA MTAA HUO HAUNA KIONGOZI NA KUKURUHUSU UANZE KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKO KAMA AFISA MTAA WA JAMII HURU.

333 Views