Download ratiba ya mtihani wa kidato cha sita 2018 hapa

Soma ratiba ya mtihani wa kidato cha sita 2018 hapa kwa urahisi zaidi

Download ratiba ya mtihani wa kidato cha sita 2018 hapa. 

Unaweza kuwa unajiuliza mtihani wa kidato cha sita 2018 utaanza lin? Jibu ni tarehe 07/05/2018. Tunawatakia form six wote 2018 maandalizi mema ili wote muweze kufaulu mtihani wa kidato cha sita 2018. 

Je wewe ni mwanafunzi wa kidato cha sita? Kama jibu ni ndiyo nataka kukupa zawaidi kwenye page yangu ya matokeo ya mitihani. Ukiwa hapa jamaa online like page yangu uone zawadi utakayopata. Pia mtumie rafiki ratiba hii huo facebook twitter bonyeza share hapo juu kwenye alama za facebook au twitter. 

Kipindi hiki ukiwa unajiandaa na mtihani wa kidato cha site basi soma kwa malengo. Jiwekee malengo kuwa chuo kikuu lazima na boom au mkopo lazima. Soma kwa bidii usizarau walimu wako kwakua umebakiza miezi michache ya kutoka hapo shuleni na usiendekeze mapenzi ukiwa shuleni hapo utazungusha zero kwenye mtihani wako. Share ratiba hii kwa wanafunzi wengi ili wajiandae vizuri wasije zani siku bado ni nyingi. Bonyeza lama ya facebook unayoiona kwenye makala hii pia bonyeza alama ya twitter au google plus bonyeza zote tu ili uwatumie watu wengi zaidi ratiba ya mtihani wa kidato cha sita 2018.