Uza Video Cover Image
Uza Video Profile Picture
82 Members
2 yrs - Youtube

Mfano wa video iliyotengenezwa kwa daftari, peni na simu imeuzwa sh 11,000 kwa kupata views 23,000

Like
2 yrs - Youtube

Hauhitaji kutumia gharama yoyote kutengeneza video za kuuza kwenye network za jamii huru.

Tazama video simple kabisa hii aliyeiandaa mtu mmoja kwa kutumia vifaa rahisi vinavyopatikana maeneo yake kama ndoo, Maji, Kiti, Kondom na simu ya mkononi. https://youtu.be/me5gumKRy-c

Like
2 yrs - Youtube

Mchungaji ameleta video hii Itazame alipwe kwa views

Hata wewe unaweza tuma video hapa jamiihuru

Like
2 yrs - Youtube

FURSA KWA VIJANA KUUZA VIDEO MTANDAONI

Wanahitajika vijana wa kurusha video mtandaoni za aina yoyote ile.

Hata wewe unaweza kuanza kurusha video na utalipwa vizuri kwa kila video unayorekodi na kutuma,

Tumia simu yako ya mkononi kisha chagua mazingira mazuri mtafute rafiki yako akurekodi au ujirekodi ukiimba wimbo, ukicheza ukiigiza, ukifundisha mada yoyote uipendayo, au ukifanya chochote kile ukipendacho. Itume video yako whatsapp 0652428852 Mtalamu atakuelekeza kwa kuangalia pesa zako muda huo huo

Pia mnaweza shirikiana zaidi ya mmoja. na mtagawana pesa za video mnazotengeneza.

MALIPO.

Utalipwa kwa idadi ya watu waliotazama video zako, Kila video unayotuma unalipwa kwa idadi ya waliotazama video husika. Mfano video ikitazamwa mara elfu 10 unalipwa elfu 5 ikitazamwa mara milioni unalipwa laki 5. Yaani unachukua idadi ya views unagawanya kwa mbili.

Mfano wa video simple kabisa
Tazama kwenye link hii

Masharti

Video unayoleta isiwe na mziki wowote ndani yake
Video yako isiwe ya ngono
Video yako isiwekwe kwenye mtandao wowote kama instagram

Anza leo kutengeneza pesa kwa kutumia simu yako kurekodi video
Share habari hii kwa marafiki wapate pesa za matumizi kwa kuanya kazi ya kurekodi video kwa simu zao

Tazama mfano wa video rahisi iliyorekodiwa kwa smartphone ---👇👇👇

Like
About

Karibu ujifunze fursa hii ya kuuza video unazorekodi kwa simu yako ya smartphone ukiwa popote pale

ADVERTISEMENT
------------------------- Asante kwa kutembelea mtandao huu

Tunaomba msada wako kushare mtandao huu