*_Kamwe usifanye vitu hivi sita*_
1. Usimwambie mtu yeyote ndoto zako, kumbuka samaki aliyefunga mdomo ndiye huiepuka ndoana.
2. Usijichanganye sana kwenye matatizo ya watu wengine, huwezi kucontrol kila kitu—vitu vingine viache vitokee tu.
3. Usimuombe mtu yeyote kukukopesha, kwa sababu pesa huvunja urafiki na hukufanya kuwa omba omba wa deni lako.
4. Punguza kulalamika sana, maana kulalamika hakutatui matatizo.
5. Usitumie zaidi ya unachokipata, vinginevyo utabaki maskini.
6. Usijutie wakati uliopita, kilishafanyika tayari na huwezi kubadilisha chochote.
👉 Maneno haya yatakufundisha busara na kukusaidia kuishi maisha ya furaha 💯😍.
By
ElimikaLeo
Zionmoore
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?
Precious
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?